Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wadau poleni kwa majukumu. Kuna picha mitandaoni inayomwonesha muimba nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha akiwa beach (nadhani), amevaa taulo tu huku sehemu ya boxer ikionekana. Wachangiaji...
5 Reactions
43 Replies
9K Views
Hii ni kutokana na SMASH HIT yake ya AMABOKO kushika namba moja katika chat za MZIKI APPLE, Africa now na kuwa msanii namba moja Africa mashariki. N.B: number don't lie, it's just a fact only.
12 Reactions
71 Replies
8K Views
Mtangazaji maarufu wa Times FM, Didah Shaibu amejiunga na Wasafi FM na leo atatambulishwa rasmi. Watu wengi tuliona tokea mwanzo ikiwemo me muda si mrefu Didah atatua Wasafi hii ni kwasababu...
11 Reactions
104 Replies
20K Views
Mtangazaji tajwa hapo alikuwa ni mtangazaji mahali na mweledi sana katika kazi yake. Tume - miss sauti yake kwa muda mrefu sasa, yeyote mwenye kujua alipohamia au alipo atujuze tafadhali.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Hakika ukishangaa ya Mussa utayaona ya Firauni! Wahenga walinena! Na Mimi pia narejerea usemi usemao "Usiache Mbachao kwa Msala Upitao" Ama kwa hakika alichokifanya mwendesha shughuli Adam Mchomvu...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Aliyekuwa mume wa Flora Mbasha aambulia aibu ya mwaka baada ya kuhangaika kwa muda mrefu kupata penzi la DJ Carry au Carrymastori kama anavyojulikana na wengi . Carry ametishia kuanika chats zao...
0 Reactions
77 Replies
14K Views
Akizungumza kwa ' huruma ' kabisa huku akikaribia ' kulia ' Mtangazaji ' maarufu ' wa Clouds fm Adam Mchomvu wakati akitoa salamu zake za mwaka wa kuzaliwa wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
15 Reactions
148 Replies
19K Views
By Sangu Joseph . Kwanza kabla ya yote nieleze masikitiko yangu na kuonesha kuhuzunishwa kwangu, na mambo aliyoyasema Dada na Msanii wetu Vanessa Mdee juu ya namna ambavyo wasanii wakike wanahaha...
16 Reactions
129 Replies
23K Views
BAADA ya mwanamuziki wa Nyimbo za Injili Bongo, Flora Mbasha kusambaza kitabu alichokipa jina la Siri za Flora Mbasha kilichoanika ‘mabaya’ ya aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha, mumewe huyo...
8 Reactions
113 Replies
15K Views
Ikumbukwe kuwa video vixen maarufu Jack Patrick/ Cliff ambaye pia alikuwa mpenzi wa Msanii Jux alihukumiwa kwa kukutwa na madawa ya kulevya nchini China tarehe kama ya leo tarehe 11/ 08/2014...
2 Reactions
21 Replies
7K Views
WATU watatu wamekamatwa na kushitakiwa kutokana na kuhusika kujaribu kuwapa rushwa na kuwatishia maisha wanawake ambao walimshitaki R. KELLY kwenye kesi yake inayomkabili ya unyanyasaji wa...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
nikutokana na mapokezi yake makubwa kigoma, ambapo alikiba mzee awezi fikia. Maana alikiba wameudhuria watu hata 100 hawajafika, huku diamond walikuwa zaidi ya 10000,na kuandika historia kubwa...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Mwali wangu yamemmkuta mazito Jana. Hivi sijui sura yake ataiweka wapi maskini, hadi shoga zake akina Mama Dangote wamemkana amewatia aibu, tatizo mwali na ewe umezidi mdomo mno, kwani unadhani...
8 Reactions
141 Replies
42K Views
Dina Najua Upo Hapa JF, Kwanza nianze kwa kukusifu, Dina wewe ni Mwanamke Imara sana, Kwa yale Ambayo Nayaona mimi. Sikujui personal, Ila Kwa maandishi yako, Ongea yako kwenye vyombo vya habari...
7 Reactions
68 Replies
19K Views
Ndugu Wajumbe wa Wcb mmeona balaa la mfalme huko Kigoma? King baada ya kuujaza uwanja wa Nangwanda sasa amepeleka balaa kigoma, Mapokezi aliyoyapata unaambiwa haijawaitokea msanii akapata nyomi...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Ingekuwa wale wazee wa "KIKI" Kila upande taarifa ingekuwa hiyo...nimesubiri kwa muda mrefu nione nani atamfunga paka kengele, mnachunia ili baadae domo akifanya kitu kidogo mke mtupigie kelele...
15 Reactions
80 Replies
7K Views
Wadau kuna mtu mwenye taarifa yoyote kuhusu gavana wetu wa Benki Kuu? Hivi bado anaumwa? Bado yuko US au kesharudi Dar? Ni muda mrefu, kumekuwa na umkimya sana kuhusu Mhe. Gavana ambaye ni mtu...
2 Reactions
27 Replies
7K Views
Kwa mwaka wa pili mfululizo, Dwayne Johnson anayefahamika zaidi kama The Rock ametajwa kuwa Muigizaji anayelipwa zaidi duniani kwa upande wa Wanaume Jarida la Forbes limesema The Rock ameingiza...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Nilivyoambiwa wanawake wa kenya na Uganda wanajua mapenzi na kumcare mwanaume mwenzenu nilibishaga mjue, sasa ndio nimeamini kwa nini kaka zetu hawa wanakimbilia kwa kasi ya 4g kuowa na kuchumbia...
7 Reactions
87 Replies
17K Views
Stori: Imelda Mtema na Erick Evarist BAADA ya kushikiliwa kwa takriban miezi tisa kwa kesi ya madawa ya kulevya ‘unga', hatimaye Video Queen maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff...
1 Reactions
38 Replies
8K Views
Back
Top Bottom