Lucky “Moyo mashine” afariki dunia

Status
Not open for further replies.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,944
22,387
Kwa habari nilizozipata hivi punde ni kuwa Lucky Moyo mashine hatupo naye tena duniani.

Kabla ya kufikwa na umauti ,Lucky alikuwa anaumwa sana japo mashoga wenzake walikuwa wamejitenga naye.

Hakika mwisho wa watu sampuli kama Lucky huwa hawana mwisho mzuri, Mungu alinde vizazi vyetu.

Amina.

Screenshot_20200825-150951.jpg
 
Ndio maana hata vitabu vitakatifu vilikataza hyo kitu, chakusikitisha huyu lucky madanga yake yote yalimsusa na ndugu hawajulikani
Vitabu vitakatifu vimekataza zinaa, zinaa inaleta magonjwa ya kuambukiza, inaleta mimba zisizotarajiwa, inaleta watoto wa mitaani, inaleta mtafaruku kwenye jamii husika, n.k,

Ukinyoonya kidole kimoja vinne vinakutazama.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom