Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wana JamiiForums, Nimewaza sana lakini nimeishia juu juu sijaenda deep sana kwa mawazo yangu. Swali: Ninalojiuliza ni kwamba Mtu anapata vipi pesa au anakua vipi tajiri kutokana na u-famous au...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Alikuwa yuko vizuri tu kama hapaakitoka na demu wake safiMara mwonekano unabadilika Mara tetesi za kuwa na mahusiano na wanaume kama huyu jamaa Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
127 Replies
21K Views
Mtangazaji wa Wasafi media aaliyah Mohamed azawadiwa gari na uongozi wake kwa kuonesha ufanisi mkubwa wa kazi.Ikumbukwe kuwa aaliyah ndiye mtangazaji wa kwanza kuajiliwa na Wasafi media na kabla...
8 Reactions
76 Replies
13K Views
Mi sielewi hizi media zetu kubwa ambazo zimeonekana kususia kupiga nyimbo za WCB, kama Diamond ndio kawakosea ni kwanini wasimpe adhabu yeye? Hawajui kama wanawakomoa kina Mbosso,Lavalava na...
11 Reactions
63 Replies
12K Views
Kabla hajawa Shishi baby,Shishi Trump wala Shishi Food......
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Huyu jamaa shida ni nini wadau tusaidiane kumdadavua?? Anaitwa Mwijaku binafsi sijawahi kuona lolote la maana kwake leo naona kawafomea waandishi wa habari still bado wanamuuliza maswali tu...
1 Reactions
41 Replies
8K Views
====== Sakata la Madawa ya Kulevya limechukua sura mpya kufuatia mwanadada mashuhuri Wema Sepetu, ambaye ni mmoja wa watuhumiwa, kutoa ya moyoni juu ya sakata zima la kukamatwa kwao na kuhusisha...
9 Reactions
791 Replies
146K Views
Wasalaam wanajamii Nilikuwa naangalia live kwenye tv uzinduzi wa kampeni za CCM. Kabla ya mwenyekiti kuongea , wakaalikwa wasanii watatu (top artists) 1. Harmonize, kidogo ndio amepafom vizuri ...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Mitaani walimwengu wanazungumza kuwa DJ Mamie ndio DJ nambari moja kwa sasa Africa Mashariki na Kati. Dj Mamie msomi mwenye degree ambaye alikuwa radio ya EFM kwa sasa anakimbiza kupitia Wasafi...
2 Reactions
47 Replies
11K Views
Navosema reginald mengi hakuwa mtanzania wa kawaida, sisemi ivo kwasababu ya utajiri au umaarufu wake.. Ni kwasababu aliweza ku-maintain utajiri wake na aliweza ku-maintain kuishi lifestyle ya...
8 Reactions
29 Replies
7K Views
Wakuu Salaam; Leo nilikua na safari kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, sasa basi nililopanda ni luxury na tulikua tunaangalia video mbalimbali za mziki hasa wa hapa nyumbani. Kila mwishoni mwa...
3 Reactions
81 Replies
8K Views
Jumapili iliyopita wananchi walikua na Jambo lao pale Mkapa stadium,.wasanii kadhaa waliimba mbele ya wananchi. Lakini alipokuja harmonize alijaribu na akafanikiwa kwa asilimia nyingi kuonesha...
21 Reactions
35 Replies
5K Views
Anaandika Javan Samora-Kenya Msanii wa kizazi kipya Diamond Platnumz ( Dangote ) leo amewachefua fans wake mara baada ya kuongea Ki-ingereza cha hovyo ( Broken English ) na kuzua taharuki...
2 Reactions
83 Replies
16K Views
Wakati akiendelea kutumbuiza bwana mondi alitaka ashuke jukwaa lake aende kupanda jukwaa la wenye nchi, kufika ngazini kakutana na kono la baunsa mwenye shati la kijani kampiga stopu ikabidi azuge...
15 Reactions
96 Replies
13K Views
Kikosi kipya kabisa ndani ya Wasafi fm kwenye kipindi cha jioni. Seki , Babalevo, OK na Adela Tillya. Wajumbe mnaizungumziaje hii timu? Mimi binafsi namuamini sana Seki ana akili nyingi ataleta...
6 Reactions
96 Replies
17K Views
Sasa wale ma slay queen itakuaje jamen ?, nawaonea huruma akina huddah, tontoh dikeh, bobrisky, vera sidika and the rest, wamekula sana ma millions ya huyu jamaa in Dubai . Ila tuseme tu ukweli...
5 Reactions
233 Replies
25K Views
Salaam wana jamvi. Toka muziki wa singeli umeanza kuwaingia vichwani na masikioni Watanzania, kumekuwa na ujio tofauti tofauti wa wasanii wa singeli lakini ni ukweli ulio wazi Msaga Sumu alikaa...
3 Reactions
91 Replies
18K Views
Wazee wa vocal washachomoa Betri
0 Reactions
40 Replies
8K Views
Mwijaku wakati akihojiwa na bongo five leo amesema Hamisa Mobetto anajitambua sana ndio maana kuna watu wakimuona wanatetemeka mikojo inawatoka mpaka wengine wanajinyea kwa kuomuona Hamisa...
3 Reactions
34 Replies
7K Views
yule jamaa alikuwa anamiliki hiace kibao mjini dsm zilizokuwa zinaitwa madinda trans yule aliyekuwa anaongozwa kupewa big up na bendi za kibongo enzi hizo. Yule aliyekuwa mme wa mcheza show...
4 Reactions
64 Replies
22K Views
Back
Top Bottom