Kikwete: Nilimsihi MwanaFA na Wanamuziki wengine kufanya shughuli nyingine badala ya muziki

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Kuna siku nilimsihi MwanaFA na wanamuziki wengine kufanya shughuli nyingine badala ya muziki pekee.

Nimefarijika leo kunitembelea na kutambulisha bidhaa yake mpya 'body spray'. Hii ni hatua kubwa na nzuri kwa vijana watu. Tuwaungishe!

Ameandika Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika ukurasa wake wa Twitter.
IMG_20181219_162355.jpeg
IMG_20181219_162400.jpeg
 
Kuna siku nilimsihi MwanaFA na wanamuziki wengine kufanya shughuli nyingine badala ya muziki pekee.

Nimefarijika leo kunitembelea na kutambulisha bidhaa yake mpya 'body spray'. Hii ni hatua kubwa na nzuri kwa vijana watu. Tuwaunganishe!

Ameandika Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika ukurasa wake wa Twitter.View attachment 972296View attachment 972297
Hivi hizi brand za bidhaa zinazozuka kila kukicha huwa wanatiliana maanani ubora na usalama wa watumiaji au ndiyo wanawaza fedha tu jamani! Mimi hii ''made in China'' huwa naiangalia mara kumi kumi kabla sijaingia kichwa kichwa. Bora nijikamue nitumia vitu vya kuamini hata kama ni ghali kuliko hizi bidhaa zinazomea kama uyoga.
 
Wasanii wanampenda kweli huyu baba,kwanini hawaendagi kwa mkapa?,au mwinyi?
Mkapa nilisoma habari zake humu kuna member aliandika kua
Mkapa aliwakaribishaga wapinzani ikulu wakawa wanaenda kila mara
Sasa kumbe walikua wakifika wanagonga soseji na mayai
Mkapa siku moja akawapiga mamarufuku japo alijitahidi kusema sababu ni kua wapinzani walikua hawana msimamo na hawaeleweki ila alilalamika tabia yao ya kula soseji la ikulu
Just imagine uende kwake kumtembelea
 
Back
Top Bottom