Tundaman "dume suruali" ya "MwanaFA" ilikuwa ya kwangu

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
828
Hitmaker wa "Mama Kijacho" Tundaman asema kwamba "dume suruali" ya mwana fa alomshirikisha mwanadada v-money asema lilikuwa wazo lake.






cfa98c6075441c0d72e4f2e4b943cc8d.jpg


Ni kweli wazo la wimbo wa "Dume suruali" lilianzia kwa Tundaman?
371ec8cc0e172a805e77679cb224a090.jpg

Eatv-eNews wanatililika nayo basi kama umecheck basi tujumuike.
 
Na ye aimbe hiyo hiyo tuone ilkuwa ya nani kweli as long as nyimbo moja kuimbwa na wawili si vibaya
 
Aliwahi kusema Vaileth wa Matonya ni wazo lake pia, mara akasingizia kapata ajali, hii mpya tena. Hivi hayumo kwenye yale mambo ya kina Chidi Benz?
 
huyu jamaa huyu kwahyo anataka atuambie mistari ya kibabe mule ya kwake kama:
1.nihonge ina nini yaan ina tv ndani
2.kwani unauza nini dada?
aache kutafuta kiki za kiboya tumpuuze tu.
 
Mr.apple vipi tena,
Muda bado upo toa vitu vikali-vikali watakuelewa tu,
Au soko limekuwa gumu sana.

"Msinilaumu Mlipata Pesa Mkacheza kama Tundaman Sijui hata wapi alipo wekeza-Babu Talent"
 
Huyu jamaa anaanza kuchanganyikiwa sasa.

Tunda Man toka jana mwezi wa 8 alikuwa anatangaza Kuwa mashabiki wake wajiandae na ngoma yake mpya inaitwa "Mwanaume suruali" akaweka mpaka Post Instagram anakumbuka ile.

Huo wimbo hakutoa tena akaja kutoka wimbo mwingine wa kuitwa "Debe Tupu" kwenye interview zake akaja kusema kuwa MwanaFA alimpigia simu na kumuomba abadili jina la wimbo wake ili wasiwachangaye mashabiki.

Na ndio kitu ambacho Tunda alifanya akabadili jina la wimbo wake kutoka "Mwanaume Suruali" mpaka "Debe Tupu".

ukiusikiliza Debe Tupu na Dume suruali ni nyimbo mbili zenye maneno,ujumbe na mahadhi tofauti...Ninachokiona jamaa anajaribu kutafuta Kiki baada ya wimbo wake kubuma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom