Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mwijaku wakati akihojiwa na bongo five leo amesema Hamisa Mobetto anajitambua sana ndio maana kuna watu wakimuona wanatetemeka mikojo inawatoka mpaka wengine wanajinyea kwa kuomuona Hamisa...
3 Reactions
34 Replies
7K Views
yule jamaa alikuwa anamiliki hiace kibao mjini dsm zilizokuwa zinaitwa madinda trans yule aliyekuwa anaongozwa kupewa big up na bendi za kibongo enzi hizo. Yule aliyekuwa mme wa mcheza show...
4 Reactions
64 Replies
22K Views
Unaikumbuka Filamu ya Home Alone? Mhusika mkuu wa filamu hiyo Macaulay Culkin ambaye aliigiza kama "Kevin McCallister" kwenye filamu hiyo amefikisha umri wa miaka 40. " Hello Unataka kujua kama...
14 Reactions
34 Replies
6K Views
Kaingia uwanjani kwa kamba kijeshi jeshi,toka juu ya paa la uwanja hadi kwenye pitch very risk but ndo vionjo vyenyewe hivyo.....show bado inaendelea japokua hadi sasa bado hajaleta amsha amsha...
7 Reactions
123 Replies
18K Views
Kwa upande wangu nawakumbuka 1. Marc vivan foe..huyu ni mchezaji wa timu ya cameroon ambaye alifia uwanjan 2. Papa wemba alifia stejin akiwa anatumbuiza 3. Blondon lee huyu alifariki wakati...
1 Reactions
90 Replies
22K Views
Dar es Salaam. Ashiraf Geuza maarufu' Uchebe' amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni akikabiliwa na kosa la kumjeruhi Zuwena Mohamed maarufu 'Shilole' na kumsababishia maumivu makali...
3 Reactions
56 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu, Tukiwa kwenye vugu vugu la uchaguzi mkuu na campaign za vyama mbali mbali na mapambano bado yanaendelea ya kutafuta kijio Cha kila siku. Nimebahatika kusikiliza interview ya...
16 Reactions
43 Replies
10K Views
Msanii wa muziki kutoka WCB wasafi, Zuchu amefikisha followers million 1 ndani ya miezi minne tu tangu kutambulishwa rasmi katika label hiyo kubwa Afrika Mashariki na kati. Zuchu pia ana...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
  • Closed
KUPITIA UKURASA WAKE WA INSTAGRAM MSTAAFU MAKONDA AMEANDIKA: Heshima na Mamlaka ni zako eee Mungu wa Mbingu na Nchi na kwako wewe tunalia Aba, nitaendelea kutaja ukuu wako siku zote za maisha...
11 Reactions
89 Replies
14K Views
Askofu na Mchungaji Gwajima amekuwa moja ya watu maarufu na gumzo kubwa sana nchini. aina hii ya watu wapo duniani kote kwa Dini au Imani zote. Mtu wa namna hii unapoanza naye vita unapaswa kwanza...
33 Reactions
268 Replies
61K Views
Mmh huyu bi kidude naye anachokitafuta atakipata, sasa sijui anamringishia nani, huyu naona hawajui wabongo vizurI , atapigwa vipapai mpaka ajikute anatembelea wheel chair. Hizi Show off zake...
8 Reactions
111 Replies
14K Views
Nimeona tangazo kupitia Azam TV. Nikabaki nacheka tu. Nakumbuka siku wanasign pambano, Dullah alikuwa sereouz. Jamaa alishauri promoter atoe laki2 kwenye pesa yake ili ikitokea Kiduku amemaliza...
4 Reactions
40 Replies
6K Views
Naam Huyu dada huwa namkubaii sana wakati wa usomaji wa Taarifa ya habari pale ITV. Anajiamini na uwasilishaji wake wa habari ni mzuri kwakweli Kwangu Mimi namuona inafaa sana BBC Swahili...
14 Reactions
138 Replies
27K Views
Huyu ndio pesa zimemjaa sana au ndo Jumalokole kashakua role model wake. Mh! This is too much.
3 Reactions
57 Replies
7K Views
Habari za saa hizi wakuu, Huyu kijana kutoka West Africa Nigeria. Kuzaliwa: 5 February 1996 Mahali alipozaliwa: Abeokuta Nigeria Nyimbo 1: Jealous 2019 2: King 2019 3: What if I say 2019 4: You...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
MSANII wa muziki Bongo, Rosa Ree amefunguka kuwa kesi na Harmonize kwa sasa ipo kwenye mikono ya sheria kuangaliwa ni jinsi gani haki inaweza kutumika kwasababu muziki ni biashara. Rosa Ree...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Ni ukweli usiopingika wakati wimbo huu unatoka wengi wetu tuliuchukulia poa na kuunanga kwa nguvu zote bila hata kuweka akiba ya maneno. Amaboko tuloinanga na kuwaona wameishiwa waloiimba leo...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanazengo today is Thursday right ? Sio mbaya tukajikumbusha matukio ya nyuma ambayo yaliyokea Ila hayakuwahi kusikika au kuvuma. Kama wewe utakua ni mdau mzuri wa entertainment , Jina la Emelda...
21 Reactions
192 Replies
33K Views
Leo nimemsikia Regina Mwalekwa katika amka na BBC lakini naskia anajiita Regina Mziwanda. Sijajua kwa nn baada ya kujiunga na BBC Swahili anajiita Regina Mziwanda
1 Reactions
59 Replies
33K Views
Back
Top Bottom