Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Shoga kidawa toka afukuzwe kazi clouds basi anajifanya kajiajiri mwenyewe, madai anafanya gossip news , news zenyewe ana Copy paste trend news za Instagram ndo anapachika kwake, yani mpaka...
7 Reactions
30 Replies
5K Views
Mzuka wanajamvi. Lile tukio la msanii maarufu nchini na bara la Africa Diamond la kuibiwa kofia halikuandaliwa staged. Kwa utafiti wangu ni kweli Diamond ile kofia aliporwa. Na hiki kitendo...
11 Reactions
25 Replies
3K Views
Kajala na Jonas wanajisumbua tu kujificha na penzi lao la wizi wizi . Hilo penzi lao watu tunalijua kitambo wenyewe eti wanadhani wanafanya siri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Halafu mbaya zaidi Kajala alianza ku date...
16 Reactions
72 Replies
9K Views
Amina Khalef, mke aliyeachana na mwanamuziki maarufu wa Bongo, Ali Kiba amemchukulia hatua za kisheria mwimbaji Diamond Platnumz katika siku chache zilizopita. Hii ni kutokana na matamshi ya hivi...
6 Reactions
44 Replies
7K Views
Kuna wimbo Lady Jaydee aliimba na Chidy Benz unaitwa Uko juu, kwenye audio ya huo wimbo verse ya Chidy ipo ila video yake Lady Jaydee alifuta verse ya Chidy . Inavyosemekana kwa habari za chini...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Nani kama mama kupitia kipindi cha shajara mama mzazi wa msanii wa muziki wa Hip hop ChidiBenz anaamini kubaniwa kimuziki ndio kuna mfanya Chidi kuonekana ana changomoto imani yake ni kuwa...
3 Reactions
4 Replies
535 Views
Kuna wimbo mpya wa Dizasta Vina unaitwa 'Almasi' Wimbo umeshiba, kuanzia mdundo, vina, mtiririko wa mashairi n.k. Mwimbaji ni kama anamuasa huyu Almasi juu ya maisha yake anayoishi ya...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Rapa Mkongwe na Mbunge wa zamani wa Mikumi, amesema hayo na kuongeza kuwa safari yake ya kuugua tatizo la Figo ilifanya afikie hatua ya kutobolewa Koo ili kuondoa uchafu uliokuwa ukisababisha...
10 Reactions
42 Replies
14K Views
Diamond anajua kujitengenezea Matukio ili kuzidi ku trend. Hata tukio la kuporwa kofia juzi ni la kutengeneza. Ukiangalia uchukuaji wa video utagundua ni movie tu, yaani pale alikosekana tu yule...
32 Reactions
55 Replies
7K Views
Jamani dada unajua kuimba Tenzi za rohoni mpaka unajua tena, yaani unaziimba Kwa utulivu wa kipekee sana, huna kiranga cha kubadilisha tune wala Nini, unatoa vitu original kabisaa, yaani kila...
26 Reactions
232 Replies
15K Views
Wakuu Kwa watu wa mataifa mbalimbali wana sifa zao kila taifa.. Mathalani ukienda India aslimia kubwa ni uchafu, Ukienda China wao wanakula kila kitu kinachotembea ardhini na kupaa. Ukienda...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Aisee hii Tanzania ni kubwa sana, niko Mtwara linapokuja suala la burudani kwa mikoa ya Lindi na Mtwara hamna mtu aneyemfikia Dj Missondo kwa kusepa na kijiji. Huyu jamaa akiwa sehemu anafanya...
22 Reactions
92 Replies
15K Views
Leo kwenye ibada ya Kawe kanisani kwa Mwamposa jamaa kaonekana kwenye TV akitubishwa. Ni hatua njema kwa Godfrey Tumaini. Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
61 Replies
6K Views
Diamond kila anapomsaini msanii kwenye lebo yake halafu akaona mwanamziki ana nyimbo nzuri lazima atataka yeye ndie awe muhusika wa juu/ main character kuliko hata mwenye nyimbo. Kafanya hivyo...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Wasalaam. Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema nimeona interview ya mama yake Chid Benz na Clouds tv kwenye kipindi cha Shajara. Huyu mama kwakweli yeye mwenyewe hajakubali kama mwanaye...
9 Reactions
49 Replies
5K Views
D Voice jini ametoa album yake ambayo inafanya vizuri sana sokoni mpaka sasa YouTube ndio ipo juu kwa kusikilizwa. Harmonize naye kaachia album yake lakini pamoja na kiki zake za kupigana...
7 Reactions
67 Replies
5K Views
Wakuu tuwe makini sana ikibidi tuwe wajajusi hasa kwa Hawa wenzetu maarufu na hata ambao si maarufu kina sisi ...ukiwa faragha na mademu zetu kuwa jasusi sm zote off ukakuguzi wachumba na mwenza...
8 Reactions
63 Replies
8K Views
Katrina Kaif ni mwigizaji na mwanamitindo wa Uingereza na India. Alizaliwa mnamo 16 Julai 1983 (Ana miaka 40 sasa) huko Hong Kong na kukulia Uingereza. Wazazi wake ni mfanyabiashara wa Uingereza...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Blood Vessel is a thriller about escaping one’s circumstances, it turns into an actual horror story. Survival of a brutally realistic kind Blood Vessel is a movie that deals with survival in a...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…