Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Ukikaa Kwa makini ukatenga muda wa kuisikiliza hii ngoma utaungana na Mimi kuwa Diamond wa nenda kamwambie, karudi..wimbo mkali sana kuanzia mashairi, melody, nk.kifupi hizi ndio nyimbo wenye...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, amesema amesikia malalamiko ya mwanamuziki Diamond lakini hawezi kumjibu kwa sababu zipo taratibu za kufuata kama anaona...
4 Reactions
230 Replies
32K Views
Wakati Diamond Platnumz alikuwa na miaka 17, alifanya kazi ya kuuza nguo za mitumba na kuuza mafuta kujaribu kuweka akiba ya kumwezesha kurekodi studio, lakini haitoshi. Hatimaye mwimbaji huyo...
5 Reactions
12 Replies
10K Views
1:Diamond platnumz AKA simba 2:Ali kiba 3:Christian Bella AKA king of the best melody 4:Yamoto Band 5:Ommy Dimpoz...
1 Reactions
94 Replies
15K Views
Wizkid au Star boy imethibitika anatoka kimahaba na rafiki karibu wa familia ya Kim Kardashian aitwae Justin Skye Wizkid amethibitisha hayo kupitia ukurasa wake wa instagram kwa...
2 Reactions
53 Replies
13K Views
Hatimaye ile siku iliyokuwa ikisubiriwa na mashabiki wa muziki Tanzania pamoja na ukanda wote wa Afrika Mashariki imewadia. Tuzo hizi kwa mwaka huu zimepata msisimko mkubwa na hamasa ya mashabiki...
18 Reactions
3K Replies
275K Views
Nimekuwa nikifuatilia kazi nyingi sana anazifanya Fanya Diamond platnumz amekuwa hapati Support kubwa toka kwa wasanii wenzie na watu wengine maarufu tofauti na wasanii wengine Je hii ni kwanini...
4 Reactions
50 Replies
7K Views
Baada ya bondia Fadhili Majiha kumtwanga The wonder boy Profesa Bongani Mahlangu na kufanikiwa kuchukuwa mkanda wenye heshima zaidi duniani ambao sio mwingine bali mkanda wa WBC (WBC AFRICA...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwani watu ombaomba na wanafki ila huyu doto magari amezidi. Huyu jamaa akishajua upo vizuri kipesa basi tegemea kila utakapokutana naye lazima akuombee hela usipompa tu kosa, lazima akakutangaze...
6 Reactions
36 Replies
7K Views
Hiki chumba tu cha kaburi ni kikubwa mara mbili ya wastani wa darasa la kawaida la shule za kata. Gharama zisizo na ulazima, ukiongeza hayo madirisha ya grilli na aluminum katika eneo ambalo lina...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Ukizungumzia waimba taarabu wa kike wenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni basi Fatma Mahmoud Nyoro maarufu kama Fatma Mcharuko ni namba one. Waimba taarabu wengi wanapata shida kugandamizia/ kuimba...
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Habari za wakati huu wadau wa jukwaa hili. Nilikuwa napitia katika mitandao ya kijamii, nikakutana na hii habari ya huyu mlimbwende Angelina Jolie. Ya kwamba aliadopt watoto, mmoja wapo anatokea...
41 Reactions
304 Replies
20K Views
Hatimaye mfalme wa taarabu Alhaji Mzee Yusuph ametangaza rasmi ujio wake kwa mara nyingine kwenye muziki wa taarabu. Kwa kifupi tangu mfalme akae nje ya muziki wa taarabu , muziki wa taarabu...
3 Reactions
231 Replies
39K Views
Mimi kama mtu mwenye talanta ya kuweza kuona vipaji vya watu ambapo wakati mwingine wenyewe hawavioni ninapenda kuutaarifu umma kuhusu kipaji kipya nilichokiona. Ndugu yetu Wakazi Wasira ambaye...
3 Reactions
3 Replies
647 Views
Kuna ubishi wa chini chini kati ya hawa mabinti wawili machachari ambao ni zao la Jahazi Modern taarab chini ya aliyekuwa mkurugenzi wao mfalme Mzee Yusuph ,je yupi ni mkali zaidi kuliko...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Miongoni mwa vitu vinavyosubiriwa kwa hamu kwa wapenzi wa burudani ya muziki ni ujio wa mfalme Mzee Yusuph. Tangu mfalme akae mbali na muziki wa taarabu muziki huo ulikuwa unakaribia ukingoni...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Watu baadhi Wanasema Jamaa amekonda Ila kiufupi hii issue yake jamaa yupo busy Sana so tuendelee kumsapoti Nakumpa constructive criticism The guy is really hustler
8 Reactions
33 Replies
4K Views
Ni kweli Ngwair wakati anafariki alikuwa tayari amekwisha kimuziki? Yani hakuwa na hits kali, hakuwa na ngoma zinasumbua? Majibu wadau..
0 Reactions
10 Replies
902 Views
Wanabodi Leo saa 11:30 alfajiri nimepokea simu ya Da Mwajuma Mchuka kunijulisha kuhusu huu msiba!. Hii ni thread ya Tribute kuhusu nilivyomfahamu marehemu, Halima Mchuka. Kwanza jikumbushe sauti...
20 Reactions
79 Replies
16K Views
Back
Top Bottom