Unawakumbuka watangazaji gani enzi hizo pale RFA na KISS FM?

mayowela

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,124
1,746
Naweza nikasema orodha ya watangazaji wa redio hizi ambazo ziko jiji la Mwanza walinikosha hadi kutamani kusomea uandishi wa habari, enzi hizo kulikuwa hakuna mitandao nilitamani sana kuwafahamu hata kwa sura watangazaji hao, maana vipindi vilikuwa vimesheheni watu walikuwa na vipaji vya kuogopwa.

ikikuwa ukiwasha redio asubuhi huzimi mpaka kesho ikizima ujue umeme umekatika, KISS FM nilianza kuisikiliza muda kidogo kupitia dishi la televisioni upande wa redio sababu sehemu niliyokuwepo masafa yake yalikuwa hayafiki,

hebu shusha orodha ya watangazaji waliokuwa wanashusha mabalaa kipindi hiko, kwa sasa naona kama hazifanyi poa

RFA
Baruan Muhuza
Gabriel Zacharia
Maregesi Gilsian
Rahabu Fredy
Sandu G (Kid bwoy)
Sam David Kiama (Uncle Sam)
Fredrick Bundala (sky walker)
Fredy fidelis (fredwaa)
Juma Ahmed Baragaza
Glory Robinson
Godwin Gondwe (double G)
Tryphone Anselm (Soggy Dogg)
DJ John
Prince Baina Kamukulu RIP
Zuberi Msabaha RIP
Godfrey Kusolwa (Godman)
Deborah Mpangama
Beatrice Rabachi
ONGEZA LIST.....

KISS FM

Irene Tillya
Yunus Karsan
John Karan
Steve Kabuye (Steve Kafire)
Claudia Mayanka
Tobby Chewe
Chris Mark
Dj Jeff Jerry
Dj Aleco
Dee seven
Ezden Jumanne
JML
ONGEZA LIST......

Kwa kifupi hizi rredio mbili palikuwa ni chuo cha kujifua na ilikuwa ndoto ya wengi kwenda kufanya kazi sifahamu kwa sasa
 
Kumbe Irene Tylla alianzia Kiss FM? Mwaka gani alianza na kuacha na kwenda EA Radio?

Tobby Ze Splash na Stivie Kabuye ni Shida.

Baragaza/wambura mtani ni shidaaa Je huu ni ungwana /Sitasahau Jumanne Magasha

Irene Tillya alianzia Kiss fm kipindi cha asubuh baadae 2013 akaenda Tone radio ambayo ilikuwa based Online kisha akaja EA Radio
 
Naweza nikasema orodha ya watangazaji wa redio hizi ambazo ziko jiji la Mwanza walinikosha hadi kutamani kusomea uandishi wa habari, enzi hizo kulikuwa hakuna mitandao nilitamani sana kuwafahamu hata kwa sura watangazaji hao, maana vipindi vilikuwa vimesheheni watu walikuwa na vipaji vya kuogopwa.

ikikuwa ukiwasha redio asubuhi huzimi mpaka kesho ikizima ujue umeme umekatika, KISS FM nilianza kuisikiliza muda kidogo kupitia dishi la televisioni upande wa redio sababu sehemu niliyokuwepo masafa yake yalikuwa hayafiki,

hebu shusha orodha ya watangazaji waliokuwa wanashusha mabalaa kipindi hiko, kwa sasa naona kama hazifanyi poa

RFA
Baruan Muhuza
Gabriel Zacharia
Maregesi Gilsian
Rahabu Fredy
Sandu G (Kid bwoy)
Sam David Kiama (Uncle Sam)
Fredrick Bundala (sky walker)
Fredy fidelis (fredwaa)
Juma Ahmed Baragaza
Glory Robinson
Godwin Gondwe (double G)
Tryphone Anselm (Soggy Dogg)
DJ John
Prince Baina Kamukulu RIP
Zuberi Msabaha RIP
Godfrey Kusolwa (Godman)
Deborah Mpangama
Beatrice Rabachi
ONGEZA LIST.....

KISS FM
Irene Tillya
Yunus Karsan
John Karan
Steve Kabuye (Steve Kafire)
Claudia Mayanka
Tobby Chewe
Chris Mark
Dj Jeff Jerry
Dj Aleco
Dee seven
Ezden Jumanne
JML
ONGEZA LIST......

Kwa kifupi hizi rredio mbili palikuwa ni chuo cha kujifua na ilikuwa ndoto ya wengi kwenda kufanya kazi sifahamu kwa sasa
Chris mark alikua noma sana aliujua muziki nje ndani kabla ya kupiga ngoma anakupa profile ya msanii unapata kumjua kweli sio hawa wetu mtu anafanya kipindi cha mziki hawajui hata msanii ana album ngapi, huyo ezden ameingia wakati kiss fm imeshajifia wakongwe wote washasepa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom