Pichani ni mjukuu wa Bakhresa ajulikanaye kama Zayed Bakhressa (katikati) akiwa na Mo GSM mtoto wa GSM na Rakin. Watoto wa kishua.
Zayed Bakhressa ana account twitter mastaa wote wa bongo...
GENTAMYCINE nikiwa kama Balozi wa Kujiteua Mwenyewe Kilazima wa Kipindi nikipendacho cha Mazungumzo ya Familia kinachorushwa na Super Brand Radio One kinachoanza Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4...
Naona mara kwa mara watu wamekuwa wakiwashindanisha "Mtoto Iddi" -------Sir Nature na "Selemani" ---------Mboso kwamba nani zaidi.
Achaneni kabisa na huyo mtoto Iddi ameshindikanika kabisa huyu...
Kwenye hili collabo la watu wazima Mandojo & Domokaya "Wanok nok" walilo mshirikisha komando Jide.
Komando alikinukisha upande wa chorus vibaya sana.
"Wanafki nafki watu wa kupakazia
Yasowahusu...
20 KALI ZA JUDITH MBIBO LAMECK WAMBURA
LADY JAY DEE, KOMANDO, MAMA SOME FOOD, JIDE, ANACONDA
THE BONGO FLAVOUR FIRST LADY
1. Amechanganya damu kutoka mikoa miwili; Shinyanga na Mara, wilayani...
Huyu msichana wa zamani ajuza wa sasa aliyeigiza soft porn enzi za Big Brother ana pozi lake la kupepesa macho mfululizo kama vile kaingiwa na mchanga machoni.
Nahisi kuna aliemdanganya...
Kwa muda wote akiwa anafanya muziki wake basi ni lazima jina lake litatajwa sambamba na jina Pepe Kale(Empire Bakuba)....hata kama kwenye wimbo husika hutoisikia sauti ya Pepe Kale.
Nilibaki...
DJ huyo amehoji sababu za Mastaa hao wa Hip Hop kutozungumza chochote kuhusu Mapigano yanayoendelea kati ya Majeshi ya Israel na Kundi la HAMAS ambayo yamesababisha vifo vya zaidi ya Watu 2,000 na...
Ama kweli Mungu hamtupi mja wake.
Baada ya msanii Davido kutokea Nigeria kupata Pigo la kufiwa na mwanawe miezi kadhaa iliyopita ,jana amebahatika kupata watoto mapacha.
---
Nigerian music...
Tupac Shakur alikuwa mwimbaji, rapa, na mwigizaji maarufu wa Marekani. Alizaliwa tarehe 16 Juni 1971 na kufariki dunia tarehe 13 Septemba 1996. Alikuwa mmoja wa wasanii mashuhuri sana katika...
Zuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey, mara kwikwi sasa katuletea Chapati 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu.
Kinachombeba Zuchu ni ile...
Wote tunajua kwenye mchezo wa boxing hajawai kutokea bondia mwenye uwezo wa kupigana ngumi hapa bongo kama Mwakinyo.
Dunia nzima inajua Hassan ndio alama ya boxing hapa Tanzania. Ndio biashara...
Kwa clip Moja nimeona yule msanii rayvanny akionesha ujenzi wa swimming pool kwa ajili ya tamasha kama walivo kawaida Yao.
Sasa kamchukua fundi maiko na ghalama za kuongeza sifuri imetumika...
Hawa mabwenyenye wa media Tanzania kwa muda mrefu sana walizoea kuishi kwa mazoea, waliishi kwa kujipendekeza kwa serikali ya ccm na ndivyo wanavyoishi mpaka Leo
Mara nyingi hawa mabwenyenye...
Msanii kutokea nchini Marekani Usher Raymond katika mtandao wa Instagram ameonesha wasiwasi wake juu ya mambo yanayoendelea huko Israel na Palestina ikiwemo vifo vya watu zaidi ya 1000, utekaji wa...
Kwenye LET IT BE, Kuna line SONGA anachana anasema ''Sele atabaki afande mfalme Hashimu Dogo''
Kweli Hashim Dogo unaweza kumuweka mzani mmoja na AFANDE SELE? Au SONGA Alimaanisha nini???
Habari wadau.
Nimekumbuka Dar ya miaka ya 90s.
Vijana waliokuwa wanatamba mjini ni wale wa kishua.
Watoto wa o bey, upanga, mikocheni ndio walikuwa habari ya mjini.
Viwanja kama bills...
Anaandika mwakipesile mbarikiwa
Christopher & diana mwakasege pamoja na martha mwaipaya wamemshitaki mbarikiwa youtube na account ya mbarikiwa hatarini kufutwa (huo ujumbe ulio katika picha hapo...
Jana Obama na Michelle wametimiza miaka 30 ya kuwa pamoja. Pamoja na kutimiza umri huo hamna hata siku moja ambayo Michelle alimuomba Obama hela akanunue gesi achilia mbali luku, vocha, hela ya...
Ameyasema hayo akiwa anaongea na Dotto Magari. " Unajua duniani hakuna Mungu. Yale matendo mazuri unayo fanya ndio Mungu n.a. matendo mabaya ndio shetani" alisikika akisema Rashidi Abdallah...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.