TANZIA Msanii Mohbad kutoka Nigeria afariki dunia

itakiamo

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
598
1,005
Habari Wana JF.
Jana taifa la Nigeria na wapenzi wa muziki (Afrobeats) tuliingiwa na simanzi baada ya kupata taarifa Za kifo cha mwanamuziki kutoka Nigeria Mohbad (27).
Chanzo cha kifo bado Hakijawekwa bayana.
RIP

----
Mohbad is dead: Family confirm singer Mohbad death as Olamide, Tacha, odas react

She said the former Marlian record signee always lived with fears, adding that his worry doubled after the birth of their now five-month-old baby, Liam.2 hours ago

What led to the death of Mohbad?

Although the 27-year-old's cause of death has not been officially confirmed, there is widespread speculation that it involved drug use. According to the sources, the singer was suffering from mental illness and had attempted suicide a couple of times.3 hours ago

He and his wife Wunmi had one son. MohBad died on 12 September 2023 at age 27 after being treated for an infection.

3 hours ago — "Na wit great sadness we confirm di passing of Promise Oladimeji Aloba PK/A Mohbad (Imole) today, di 12th of September, 2023," di statement tok.

16 hours ago — Nigerian artiste, Ilerioluwa Oladimeji Aloba, aka MohBad, is dead. The former Marlian record signee reportedly died on Tuesday at the age of ...

Ilerioluwa Oladimeji Aloba (8 June 1996 – 12 September 2023), known professionally as MohBad, was a Nigerian rapper, singer and songwriter from Lagos.

2M Followers, 1385 Following, 49 Posts - See Instagram photos and videos from MOHBAD (@iammohbad)

Ilerioluwa Oladimeji Aloba known by his stage name Mohbad is a promising Yoruba Indigenous singer, songwriter, rapper, and performer born on 8th June,199.

Record Label: Bankz Nation Entertainment · Genre: Rapper · Mohbad Biography: He was born on the 17th day of September 1996. Mohbad is a sensational Nigerian ...

MohBad is a Nigerian singer-songwriter and rapper from Lagos. ∙ He built a fanbase by posting videos of himself freestyling, and in 2019 he signed a deal ...

17 hours ago — Nigerian rapper, singer and songwriter, Ilerioluwa Oladimeji Aloba, professionally known as MohBad is dead.

Mohbad-1200x1283.jpg
 
elezea kidogo mkuu chanzo ni kipi mi sjaelewa ujue
chanzo ni mkanganyiko! Wengine wanasema kapewa sumu,wengine kachomwa sindano ya sumu. Kisa kuachana label(marlian label) aliokua chini yake ambayo inamilikiwa na naira marley. Pia wanasema naira amehusika na kifo chake mpaka kakimbia nchi
mambo ni mengi yani mana naona amezikwa juzi leo wamefukua kwa uchunguzi zaidi
 
View attachment 2747888
Aisee huyu ndo namsikia leo....uzee ni shida
 
chanzo ni mkanganyiko! Wengine wanasema kapewa sumu,wengine kachomwa sindano ya sumu. Kisa kuachana label(marlian label) aliokua chini yake ambayo inamilikiwa na naira marley. Pia wanasema naira amehusika na kifo chake mpaka kakimbia nchi
mambo ni mengi yani mana naona amezikwa juzi leo wamefukua kwa uchunguzi zaidi
suuh sio poa aisee ila nilichek cheki instagram jns inavoonekana apo naira marley hatoboi hio mzozo
 
Leo nimemkumbuka warumi jamani
Ila kiufupi tu nigeria ubuyu kama woteeeee ukipita huku habari ni mohbad hujakaa sawa naira marley na zinoleesky 💃🏻💃🏻
Mara mtoto wa mohbad sio wake ni wa sam larry 😂😂

Rip Promise
Rip Mohbad
Yaani Mimi pia nimemkumbuka warumiangekuja aka narate mpaka ukaelewasasa mohbad na naira Marley...yaani Kuna yhusiano Gani...
Nimeona Hadi hiyo video wakiufukua mwili Kwa kweli inasikitisha sana....
Shingo imevunjwa....na haileeeki alizikwa vipi maana Hadi kwenye jeneza Bado Kuna damu
 
Yaani huyu mohbaad alikua msanii chini ya label anayo miliki bwana Naira marley

Sasa Kutokana na manyanyaso ya hapa na pale kijana mohbad akaachana na label hiyo , lakini katika label hiyo kijana mwenye nyota na mvuto ni yeye

Bifu likaanzia hapo
Wakazidi kumnyanyasa na kumkkatalia hata zile nyimbo alizofanya alizokua huko sio miliki yake
Show zikakata

Mungu sio bwana mwigulu 😅😅si jamaa akaendelea kupambana akaendelea kung'aa
Mke wake akjifungua mtoto wa kiume wanaedai watu sio wake ni wa SAMLARRY ( mi nahisi huyu samlarry alikua tu na wivu na mohbad na mwanamke wake thou mtoto hajafanana na mohbad lakini kafanana na mama yake)

Bifu kali kati ya mohbad, nairamarley samlarry na vijana wa label husika likapamba motoooo

Mohbad amekua akisema hadharani wanamtisha na wanataka kumuua (naira marley na samlarry)
Na ikitokea amekufa ni wao wamehusika
Lakini ndio hivyo binadamu wa nigeria hawakumzingatia

Mwisho wa siku huyu mohbad alitangazwa amekufa na vijana watatu lakini kwenye video hiyo waliokua live mohbad alionekana hajafa maana alitaka kujiinua wakakatisha live hiyo.

Kuna nesi alimchoma sindano mohbad ila hatambuliki na shirika la wauguzi huko ni nesi fake

Katika video kabla ya kifo mohbad alisema walimpa chupa yenye maji akanywa baada ya hapo akawa anahisi kuchanganyikiwa na kupoteza kumbukumbu
Alipozinduka alirekodi tena kuelezea
Mara anamwambia mke wake amtumie mtu voice kwenye whatsapp yake na anasema aakifa ni wao
💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻 mambo ni mengi sana sana

Sasa baba yake mohbad yuko chini ya ulinzi nahisi/wanager wanahisi walishamtishia na anajua mengi kuhusu kifo hiko naye anahofu so hakusema
Na maziko yaamefanyika haraka haraka
Na hata jeneza ndio kama ulivyoona
Inasemekana alizikwa akiwa hajafa na ndio maana kuna damu kaburini kwa jeneza
ili kumaliza ushahidi na watu wakaweka zege juu kumaliza mchezo

Na Naira marley na samlarry wako WANTED na hawajulikani walipo lakini samlarry alisemekana kukimbilia kenya

Huku manager wa Mohbad akitakiwa polisi maana huwa 100% na mohbad kkatika kila safari yake
Lakini safari hii hakupatikana kokote
Pia huyu manager ni rafiki wa karibu na wauajiwatesi wa mohbad

HISTORIA YA NAIRA MARLEY ni WANTED huko UK na nchi nyingine kwa kesi za wizi na uharifu pia kujeruhi watu sio mtu
Pia kwa Niger alikua na kesi ya kugushi CREDIT CARD

💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻
Ngoja ninywe maji kwanza
 
Yaani huyu mohbaad alikua msanii chini ya label anayo miliki bwana Naira marley

Sasa Kutokana na manyanyaso ya hapa na pale kijana mohbad akaachana na label hiyo , lakini katika label hiyo kijana mwenye nyota na mvuto ni yeye

Bifu likaanzia hapo
Wakazidi kumnyanyasa na kumkkatalia hata zile nyimbo alizofanya alizokua huko sio miliki yake
Show zikakata

Mungu sio bwana mwigulu si jamaa akaendelea kupambana akaendelea kung'aa
Mke wake akjifungua mtoto wa kiume wanaedai watu sio wake ni wa SAMLARRY ( mi nahisi huyu samlarry alikua tu na wivu na mohbad na mwanamke wake thou mtoto hajafanana na mohbad lakini kafanana na mama yake)

Bifu kali kati ya mohbad, nairamarley samlarry na vijana wa label husika likapamba motoooo

Mohbad amekua akisema hadharani wanamtisha na wanataka kumuua (naira marley na samlarry)
Na ikitokea amekufa ni wao wamehusika
Lakini ndio hivyo binadamu wa nigeria hawakumzingatia

Mwisho wa siku huyu mohbad alitangazwa amekufa na vijana watatu lakini kwenye video hiyo waliokua live mohbad alionekana hajafa maana alitaka kujiinua wakakatisha live hiyo.

Kuna nesi alimchoma sindano mohbad ila hatambuliki na shirika la wauguzi huko ni nesi fake

Katika video kabla ya kifo mohbad alisema walimpa chupa yenye maji akanywa baada ya hapo akawa anahisi kuchanganyikiwa na kupoteza kumbukumbu
Alipozinduka alirekodi tena kuelezea
Mara anamwambia mke wake amtumie mtu voice kwenye whatsapp yake na anasema aakifa ni wao
mambo ni mengi sana sana

Sasa baba yake mohbad yuko chini ya ulinzi nahisi/wanager wanahisi walishamtishia na anajua mengi kuhusu kifo hiko naye anahofu so hakusema
Na maziko yaamefanyika haraka haraka
Na hata jeneza ndio kama ulivyoona
Inasemekana alizikwa akiwa hajafa na ndio maana kuna damu kaburini kwa jeneza
ili kumaliza ushahidi na watu wakaweka zege juu kumaliza mchezo

Na Naira marley na samlarry wako WANTED na hawajulikani walipo lakini samlarry alisemekana kukimbilia kenya

Huku manager wa Mohbad akitakiwa polisi maana huwa 100% na mohbad kkatika kila safari yake
Lakini safari hii hakupatikana kokote
Pia huyu manager ni rafiki wa karibu na wauajiwatesi wa mohbad

HISTORIA YA NAIRA MARLEY ni WANTED huko UK na nchi nyingine kwa kesi za wizi na uharifu pia kujeruhi watu sio mtu
Pia kwa Niger alikua na kesi ya kugushi CREDIT CARD

Ngoja ninywe maji kwanza

Ila baba mtu ana roho mbaya unamzikaje mtoto wako Usiku wa manane na jeneza halimtoshi wakambetua kichwa pembeni kiukweli yule kijana ameonewa na Ndio maana imekuwa mtafaruku hajafa kifo cha halali kabisa,sijui aliwakosea nin hao watu na huyu kijana kawasumbua wamemuua lakin watu wamemtetea
hivi report ya kifo chake imetoka Au bado?
 
Back
Top Bottom