Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Diamond Platnumz ndio baba wa bongofleva. Anaichezesha sanaa ya bongo anavyotaka yeye. Wasafi Festival ni tamasha alilofanikiwa sana na linazidi kuwa na nguvu. Tamasha la kiingilio kikubwa hapa...
21 Reactions
85 Replies
9K Views
Leo ni siku ya kuzaliwa ya Nyota Wa Muziki wa Barani Afrika, Naseeb Abdul, maarufu Diamond Platnumz! Mwanamuziki huyu anatimiza Miaka 34, akiwa na Mafanikio ya Nyimbo Nyingi zinazoingia katika...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Hakuna shaka kwamba msanii nguli wa nyimbo za injili, Rose Muhando, ndiye malkia na gwiji wa nyimbo za injili Afrika Mashariki na Kati. Msaanii huyu alianza kuvuma kwa muda mrefu sana na kiwango...
10 Reactions
41 Replies
8K Views
Habari wadau. Nazani wengi tumeona trending za msanii wa kike Ruby. Binafsi najua ruby amekosea ila kuna kitu nimekigundua na kumuelewa ruby. Historia ya maisha ya ruby tu imempa hasira...
39 Reactions
51 Replies
6K Views
Kama wewe ni msanii ama muigizaji na unataka kuwa maarufu basi hakikisha unadate na mtu na kapo yenu iwe public. Yani ijulikane na jamii. Nakwambia utakuw staa mkubwa mpaka utashangaa mwenyewe...
2 Reactions
6 Replies
995 Views
Nimekuwa nikifatilia baadhi ya show anazofanya msanii RayVany kwenye show zake hasa za Wasafi festival! Kusema ukweli ni msanii ambaye amekuwa akiwekeza sana kwenye show hizi sana sana hata...
11 Reactions
47 Replies
5K Views
Mwanaume aliyetambuliwa kwa jina la Duane "Keffe D" Davis amekamatwa na Polisi, akihusishwa moja kwa moja na mauaji ya Rapa Tupac Shakur aliyepigwa risasi katika mitaa ya Las Vegas. Licha ya...
4 Reactions
27 Replies
7K Views
Mbwiga wa Mbwiguke mdomo mwingi lakini uwezo wake wa kuandika upo chini sana. Yeye kama mtu maarufu, inabidi atafute mtu wa kumuandikia huko mitandaoni.
15 Reactions
38 Replies
3K Views
https://youtu.be/z_Ev4ytqGmk?si=WvAsJcAtt7CK4XOq Msanii wa filamu @wemasepetu amefunguka kueleza jinsi siku yake muhimu yakuzaliwa ilivyogeuka mwika katika yake ambayo imemfanya aape tutosherekea...
6 Reactions
57 Replies
6K Views
Habari zenu wana JF. Baruti ni kijana anayekuja kwa kasi katika sanaa nzima ya muziki nchini. Hamasa aliyokuwa nayo katika kufikia malengo yake imefanya vijana wengine mitaani kupambana zaidi na...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na mtandao maarufu duniani. Msanii namba moja Afrika Diamond Platnumz ameshikilia namba mbili kwenye bara ili lenye nchi zaidi ya 50 na wasanii zaidi ya million...
4 Reactions
39 Replies
10K Views
Part one: Kwanini Juma Nature hujibu baadhi ya maswali tofauti na anavyo ulizwa? Juma Nature ni akili ya kesho. Unahitaji kutumia akili nyingi sana kumuelewa Juma Nature. Ukijaribu kumuelewa...
19 Reactions
32 Replies
3K Views
Denis Kasia a.k.a Lokasa ya Mbongo, mpiga gitaa la maarufu nchini DRC asie na mpinzani, leo ni miezi mitano tangu amefariki na bado hajazikwa. Inasemekana kuna mgogoro azikwe wapi. R.I.P mchawi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimepiga hesabu za Cuba nikaongeza ujuzi wa mjini, Wote mnamjua wema alivo karibu na mama yake ni nini wema asingekijua kuhusu maoni hasi ya mama yake? Angelien ile video vyema utagundua...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
jamani naombeni kufahamu taaluma ya Babuu wa Kitaa, Nimeshituka sana kuambiwa kuwa naye ni miongoni mwa TV presenters ya TV station fulani hivi hapa mjini na tena analipwa pesa ndefu sana kuliko...
6 Reactions
70 Replies
24K Views
Huyu binti amekuwa tunamuona wakizurura duniani na Rais mstaafu Baraka Obama. Leo nimekutana na picha zake mtandaoni, ni amejizeekea kabisa. Mwili umefumuka, hafanyi mazoezi kama mama yake...
17 Reactions
62 Replies
10K Views
Naweza nikasema orodha ya watangazaji wa redio hizi ambazo ziko jiji la Mwanza walinikosha hadi kutamani kusomea uandishi wa habari, enzi hizo kulikuwa hakuna mitandao nilitamani sana kuwafahamu...
3 Reactions
114 Replies
26K Views
Habari Wana JF. Jana taifa la Nigeria na wapenzi wa muziki (Afrobeats) tuliingiwa na simanzi baada ya kupata taarifa Za kifo cha mwanamuziki kutoka Nigeria Mohbad (27). Chanzo cha kifo bado...
6 Reactions
62 Replies
9K Views
Leo pitapita yangu nimekutana na sijui ni muweke steji hipi kama zile steji tunazopitia. Nimepiga hesabu zangu kwa nini maharage yameshindwa kuchacha serikalini ni Kawa na jiuliza kwa kundi kubwa...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom