Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Christopher Lattore Wallace, A.K.A The Notorious B.I.G. au Biggie Smalls, alikuwa rapper na mtunzi wa nyimbo kutoka Marekani. Anachukuliwa kuwa mmoja wa rappers wakubwa na wenye ushawishi zaidi...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Msanii Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya Msanii Bora kutoka Afrika kwa mara ya 3 katika mashindano ya MTV Europe Music Award 2023 ( MTVEMA2023 ) diamond amewashinda Asake, BurnaBoy   (Nigeria)...
32 Reactions
52 Replies
7K Views
Linaletwa balaa jipya mjini, naweza sema ile kiu ya kuona wasanii wetu kwenye majukwaa mazito kama kima Rema sasa inaenda kukatwa. Topnotch talent sio mbambamba. Let's count God bless WCB
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Wale wapenzi wa sinema ya john wick kama mlipata kumtazama mhudumu wa hotel inayohudumia kikundi cha siri cha mauaji na chama kikubwa. Bwana Lance Reddick alitumia part yake kuanzia filamu ya...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
Mbunge wa zamani wa Mikumi na Msanii Staa Joseph Haule maarufu Prof. Jay @professorjaytz amesema sauti yake imebadilika kidogo kwakuwa Madaktari wa Muhimbili Hospital walimtoboa koo ili wavute...
16 Reactions
23 Replies
3K Views
Muonekano wa sasa wa Aunty Ezekiel umetushtua watu wengi sana Japo Aunty alikuwa na kishepu fulani hivi tangu hapo awali ila kwa sasa mmmmmmmmmmh surgery imehusika hapa tusidanganyanee 😂😂😂😂😂😂...
18 Reactions
87 Replies
11K Views
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtaka Msanii Whozu kushusha mara moja video ya wimbo wake wa ‘Ameyatimba’ kwenye digital platform zote, pia limemtoza faini ya Tsh. milioni 3 na limemfungia...
6 Reactions
79 Replies
12K Views
Naandika hii thread kwa machungu sana, hili limeniwia vigumu sana kulisema hapa, lakini imenibidi! Siandiki nionekane nilisema, wala sipendi siku thread hii ije kufukuliwa kwamba yametimia, wala...
112 Reactions
495 Replies
39K Views
Huyu mwanadada Husna Iddi (Sajent) ambaye ni muigizaji wa bongo muvi ambaye pia alishawahi kushiriki mashindano ya kimwana manywele na miss singida miaka hiyo ya 2000 anadhani watanzania...
4 Reactions
65 Replies
7K Views
Nimeutafuta huu wimbo kila sehemu sijaupata hata video yake haipo ni kwa sababu gani? Pia nimegundua Mr. Blue hana account katika hizi platform kama Spotify, Boomplay, Youtube nk kwanin hajapenda...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Baada ya Francis Nganou kumtandika Lineal Champion ambaye pia ni WBC Super heavyweight champion of the world Tyson Fury (Gypsy king) licha ya kufanyiwa dhuluma ya waziwazi na majaji naona Francis...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Bado sijaona wala kusikia Artist wa kike kumzidi Rihanna hakuna cha beyonce nicki minaj wala taylor swift. Wote hakuna anayeleta taste kama rihanna. Wakumzidi riri bado hajatokea.
8 Reactions
107 Replies
21K Views
Juma Lokole "wanawake wanachezea nafasi wanayoipata kwa Diamond..Ingekuwa mimi Ningejijenga Kwanza Mimi na Kusaidia Ndugu zangu" wa Mitandao ya Kijamii JUMALOKOLE Anasema Kuwa Diamond hachezei...
3 Reactions
94 Replies
23K Views
Tuseme tu ukweli, mganga aliyempata Makonda ni kiboko, asimuache kabisa. Maana kutoka kuchukiwa na wengi mpaka kuwa kipenzi cha wengi si jambo dogo ujue. Ila yote tisa, kumi ni hili suala la...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Iliandikwa jumatano ya tarehe 1, mwaka 2013 ............................ WOSIA WANGU KAMA IKITOKEA NIMETANGULIA KUFA KABLA YA RUGE AU JOE KUSAGA Watu wanashtuka mtu...
13 Reactions
32 Replies
5K Views
Pole sana mama ila ungekaa kimya tu, yasingekukuta haya. Ungemwambia Le mutuzi akusaidie, umuwezi Mange.
6 Reactions
75 Replies
27K Views
Kwa mujibu wa Forbes, Michael Jackson (MJ) ameingiza zaidi ya Tsh. Bilioni 285 akiwatangulia nyota wengine kama Prince, Whitney Houston na Bob Marley MJ alifariki mwaka 2009 akiwa na miaka 50 kwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ukitizama waimbaji wa injili wengi wa kike mfano kina Beatrice Mhone, Bahati Bukuku, Angel Bernard, kina Christina Shusho, kina Flora Mbasha na wengineo wamekuwa katika wimbi la kuolewa na...
3 Reactions
46 Replies
5K Views
Katika hali iliyowaacha wengi mdomo wazi ni suala la African giant Burna boy kugoma kufanya show Dubai yenye thamani ya zaidi ya dola za kimarekani milioni 5 kisa tu kanyimwa kibali cha kuvuta...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom