SHOGA banned | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SHOGA banned

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Inkoskaz, Feb 19, 2011.

 1. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Wakuu
  nimefurahishwa na uamuzi wa wizara ya habari na utamaduni kuzuia filamu inayoitwa "shoga" sijui watz walioitengeneza walikuwa wanataka kufundisha nini jamii na hasa ukizingatia no PG restrictions...hivi hakuna mambo mengine ya kuact? au wahuni wachache wa kinondoni wanataka kupublish business yao chafu kupitia media ya filamu? wahusika pls ban it for good! labda kama ilikuwa na ujumbe tofauti,but only the name gives me kichefuchefu...HEBU watupie macho na hizi uchiuchi nyingine!
  sijui wenzangu mnaionaje?
   
 2. Msolopagazi

  Msolopagazi JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 659
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  :hand::hand::hand:kweli!!!!!!!!!!!
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  mwenye shoka Msolopagazi upo?
   
 4. A

  Akiri JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  nimefurahishwa sana na serikari naomba waendelee hivyo hivyo ziko filamu nyingi tu za hovyo hovyo. namshaangaa mbunge wa kinondoni Idi azania kukubari kuwa mgeni rasmi . na katika hotuba yake akawa anaongea maneno ya kihuni eti tusikubali kuliwa kiboga. nilimuona kupitia tv
   
 5. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  si ajabu kuongea hivyo wakati yeye ni mhuni mwenzao...kiongozi unatakiwa kutathmini mialiko unatyopewa.
  tatizo la kinondoni,ilala na temeke ili uwe mbunge wanataka uwe mhuni mwenzao uliyezaliwa na kukulia humohumo
   
 6. c

  chetuntu R I P

  #6
  Feb 20, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mbunge mgeni rasmi then filam inapigwa ban, sijui alienda kuzindua upupu? Shame upon him.
   
 7. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Naona sasa mabadiliko yanakuja TZ
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  yaje haraka sana!Ila wanaweza wakaiuza kisirisiri,wenye PC na LAPTOP wataweza kuipata,maana imeshakamilika
   
 9. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Kazi ipo wa ban na filamu za ajabu ajabu
   
 10. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #10
  Feb 20, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ban all damn films
   
 11. tama

  tama JF-Expert Member

  #11
  Feb 20, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 604
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ni vizuri walivyofanya hivyo,cz filamu yenyewe amekopy toka filamu ya nje jina limenitoka kidogo
  ila ni kila kitu alichobadili ni lugha tu.
   
 12. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  wabongo kila kitu kuiga..aaagh
   
 13. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #13
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  tena zipo nyingi tu....
   
 14. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #14
  Feb 20, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  na CLOUDS radio walikua wanaishabikia sana!wahuni wenzao!idd azan hakuna elimu pale std 7 unategemea nini?kazi yake taarab,ushoga etc
   
 15. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #15
  Feb 20, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,630
  Likes Received: 1,383
  Trophy Points: 280

  duuuh kwa hiyo wameanza kurekodi muvi za kishoga? hizi hela zinatafutwa vibaya sana siku hizi.. tunaelekea kubaya sana
   
 16. s

  shosti JF-Expert Member

  #16
  Feb 20, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kwa mujibu wa Tino hawajaiban,ila wameomba kuitazama kwanza kama inaendana na maadil ya watz.itarudi mitaani karibuni
   
 17. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #17
  Feb 20, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,630
  Likes Received: 1,383
  Trophy Points: 280
  sorry. who is tino?
   
 18. s

  shosti JF-Expert Member

  #18
  Feb 20, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  si juu umesema kwamba amecopy kila kitu,kwani ulikuwa wamzungumzia nani
   
 19. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #19
  Feb 20, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,630
  Likes Received: 1,383
  Trophy Points: 280
  una uhakika ni mimi? soma thread vizuri hapo juu tama ndio ameongelea mambo ya kukopi kama huna jibu kaa kimya
   
 20. s

  shosti JF-Expert Member

  #20
  Feb 20, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  ok samahani sikuwa nimeangalia vizuri,Tino ndio mmiliki na amecheza kama shoga kwenye hii movie.
   
Loading...