Jinsi wasanii wanavyoshiriki matamasha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi wasanii wanavyoshiriki matamasha

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mkaa Mweupe, Mar 10, 2011.

 1. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2011
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Leo katika viwanja vya mnazi mmoja kuna tamasha la siku ya figo duniani linaendelea na kwa sasa lipo live kwenye TBC1.
  Jambo la kushangaza ni pale baadhi ya wasanii kama Tito kukataa kuvaa t-shirt yenye ujumbe wa tamasha husika akidhani nguo zake za kisharobaro ndio za kupandia jukwaani.
  Jamani tujaribu kuwaelimisha watu wanaposhiriki tamasha sio onyesho la binafsi kuonyesha mavazi. Lengo ni kufikisha ujumbe kwa wanaokutazama.
  Nawasilisha.
   
 2. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Wasanii wengi 2 niliwaona kwenye lile tamasha hawakuvaa hzo tshet,nazan ni vyema waandaaji kuwapa masharti b4,kama kweli msanii anajihic hawez kupiga show bila kuvaa ki'sharobaro' anapigwa chini anatafutwa mwingine,wasanii kbao wanaotaka nafas km hzo ya nini kusumbuana na hao wasio waelewa...?!
   
Loading...