Hivi kuhodhi passport iliyochakachuliwa si uhalifu?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kuhodhi passport iliyochakachuliwa si uhalifu??

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Tisha-TOTO, Mar 11, 2011.

 1. Tisha-TOTO

  Tisha-TOTO JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 1,173
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Jamani, I have stumbled on an interview between BongoCelebrity and Mange Kimambi (yule binti wa U-turn blog).

  The below exercpts from the interview ndio nimeiona iko the most intriguing.

  Hivi huu si uhalifu? Wanasheria mtusaidie?

  BC:
  Nimewahi kusoma mahali kwamba maisha yako ni kama vile kitabu kilicho wazi(an open book) ambapo kila anayetaka kusoma anayo nafasi ya kufanya hivyo.Lakini bila shaka utakubaliana nami kwamba wapo ambao hawajui lolote kuhusu historia ya maisha yako.Naomba tuanzie hapoÂ…kwa kifupi tu ulizaliwa wapi,lini,ukasomea na kukulia wapi na mambo kama hayo.

  MANGE: Nilizaliwa Hindu Mandal,Hospital- Dar es Salaam.Cheti changu cha kuzaliwa kina mwaka tofauti na passport yangu.According to my passport, I was born in 1980 lakini tukifuata Birth Certificate kuna difference ya 4years.Hii imetokana na kuna wakati mama yangu alitaka kunitoa kwa baba yangu akidai kwamba nina miaka chini ya 7.So kutokana na sheria za Tanzania natakiwa kuishi na mama. Baba yangu naye akawa na documents zake zinazosema nimeshapita miaka 7 kwa hiyo natakiwa kuishi na baba.So mama alikuwa na cheti changu cha kuzaliwa chenye umri tofauti na baba naye na passport yangu yenye umri tofauti.GO FIGURE.  Read more: BongoCelebrity
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hayakuhusu!!!
   
Loading...