January Makamba ndiye Barak Obama wa TZ

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
AKIHUTUBIA BUNGE KWA MARA YA KWANZA ALIJITAMBULISHA KAMA MTU ANAYEFUATA NYAYO ZA OBAMA ,ANASEMA NIMEKAA KWA MUDA BILA KUZUNGUMZA NIKIJIULIZA NIMEFIKAJE HUMU,NA KISHA NIKA KAA KIMYA TENA KUJIULIZA HAWA WATU WOTE WAMEFIKAJE HUKU??

HIZI NI KAULI ZILIZOWAHI KUTUMIWA NA OBAMA WAKATI ALIPOCHAGULIWA KWA MARA YA KWANZA KUWA SENETA WA ILLINOUS

SASA MAKAMBA AMEKUWA AKIJITAMBULISHA KAMA OBAMA KWA SABABU YA MAIGIZO HAYO

huyu ni fisadi tuu na ni mtoto wa kilaza hawezi kuwa kama Great Thinker BARAK OBAMA
 
huyu ni fisadi tuu na ni mtoto wa kilaza hawezi kuwa kama Great Thinker BARAK OBAMA[/QUOTE]

Like father_like son..........
 
hes a small fisadi in the making. Anapigia chapuo dowans kama alivyotumwa na washika dau wa dowans.
 
Hivi huu jamaa si yupo kwenye Facebook? Kwanini usimfuate huko ili muendelee libeneke huko huko?
 
Januareee makamba amepewa ubunge na roastama az na el ili kumung'oa mzee sherukindo kwa kuwa aliendesha zengwe la kupiga vita kitumbua chao cha tanesco. Sasa makamba kaapa kukitoa kitumbua mchangani na kukirudisha kwa wenyewe amechelewa msaaannnnnnnnnnnnnnnii huyu. Hana lolote si chochote si lolote mwizi tuuu hu
 
Hivi huu jamaa si yupo kwenye Facebook? Kwanini usimfuate huko ili muendelee libeneke huko huko?

HATA HAPA YUPO MIMI NAJUA NA BABA YAKE HUWA ANASOMA SANA HAPA SEMA HAJUI JINSI YA KUJIUNGA NA KUULIZA WAFANYAKAZI WAKE WANAJIUNGAJE ANAOGOPA

akiwakuta JF anawafukuza kazi
 
a SMALL FISH IS A FISH:rain:

DAGAA NI JAMII YA SAMAKI WASIOKUA.

WAPO DAGAA WA MAJI CHUMVI NA MAJI BARIDI LAKINI BADO NI DAGAA WALE WALE NA WANA MBIO SANA KTK KUOGELEA KUSHINDA SAMAKI WA KAWAIDA.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Unajua huyu ni chui mtoto baba ake amekimbiza swala (wadanganyika) wee amemkamata sasa ameachia katoto kanachezacheza na swala (wadanganyika). Swala amesahau kuwa anaweza kuliwa au usalama wake ni mdogo.....huyu januariiii ni mtoto wa chui.....hafai anatakakututafuna sisisi swala! Tuwe macho! fisadi mdogo!
 
mmekosa la kuzungumza,umbeya tu!

Dada umeamka vibaya leo; unaweza kutumia panadol au hedex, flagyl zinazuia tumbo la kuhara si vyema ukazitumia kipindi hiki.

Makamba jr ni fisadi! CCM mafisadi, hata wewe journalist ni fisadi!
 
JMakamba ni fisadi na amewekwa kwenye hiyo kamati ya bunge - nishati na madini na mafisadi!! angalia mambo yanavyoenda........songas wamerubuniwa na mafisadi wakafanya njama/hila mitambo yao imekataa kufanya kazi...........ili Tanesco iingie mkataba na Dowans na sasa ndicho kinachofanyika kwani January Makamba na kamati yake wameshaongea na Tanesco ili waweke mkataba na Dowans..........sasa hivi Tanesco wanaandaa mkataba. Hivi nauliza; Kwanini Mitambo ya Songas haikuharibika siku zote kabla ya malumbano ya Dowans? Kweli nchi hii haina viongozi wazalendo; awe rais, waziri mkuu, mawaziri, mwanasheria mkuu wote ni wale wale...........endeleeni kuwanyonya watanzania ati mkifikiri ni wajinga, siku inakuja!
 
we huoni hata jina walilomuita ili wasisahau maana ni mwanzo wa mwaka. Mtu akitaka kukariri kitu anachagua mbinu rahisi hizi zilikuwa mbinu za vilaza wengi kama hao. ndo maana wakamuita mwizi wa kwanza. Hata dowans ya kwao si unajua baba alisema asiyetaka ilipwe aondoke SISIEM. wizi MTUPU.....
 
Hana lolote.

Sasa tatizo ni mtandao wa ccm ambao umekaa madarakani miaka 50.

Eti waziri mkuu pinda alisema bungeni ccm imelata maendeleo makubwa!! Issue hapa ni je haya maendeleo yanatosha kweli? Na je maisha ya wananchi vipi kwa sasa? Hayo ndio maswali wananchi wanajiuliza.

Vijana wengi wamezaliwa wamezikuta hizo barabara zipo, lakini wakiangalia maisha yao ni shida tu. Wamesoma shule za kata na kuondoka na zero. Kazi hawana, wazazi wao wamepigika. Katika hali kama hiyo hawataweza kuelewa historia hiyo. Wao wanataka maisha bora sasa hivi sio kulinganisha miaka ya nyuma na sasa hivi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom