Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Tarehe 16 April tunaadhimisha miaka 122 sikukuu ya kuzaliwa kwa yule gwiji wa zile sinema za vichekesho namuongelea Sir Charles Spencer "Charlie" Chaplin huyu bwana kwa kweli hatasaulika milele...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Hivi nyimbo kama shangazi ya Mpoki. Utailinganisha na Adela ya Mrisho Mpoto? Msanii kama Mpoki unaweza kumlinganisha na Mrisho Mpoto. Hivi kwa Mashairi ya Shangazi mfano "Umepewa wizara Nyeti...
0 Reactions
78 Replies
10K Views
Eti Mwanamke akipenda kapenda kweli..!!!?//?? Watutafsiria mashairi ya R.kelly wakati wajua wazi kwamba sio kwelii... sasa mie na Wanaume wenzangu wa ukweli .. nasema hiviii.. usitudanganyeeee...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Jamani, napenda kuuliza, ni familia gani yenye watoto wote ma-genius zaidi ya Familia ya Ma-Ropes? Mwam-War (a.k.a Mama Madawati na misaada), ndiye Genius VODACOM imetokea Kupata...Bunge la...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Mtangazaji matatani kwa dawa za kulevya na Happiness Katabazi MTANGAZAJI wa Redio Times FM, inayomilikiwa na Kampuni ya Bussiness Times Ltd, Hadija Shaibu, maarufu kwa jina la ‘Dida wa Mchops’...
0 Reactions
34 Replies
11K Views
Staa kinda katika Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu' amefungua kinywa na kujibu skendo iliyoenea jijini Dar es Salaam kuwa, amehongwa gari na kigogo mmoja ambaye jina halikupatikana...
0 Reactions
53 Replies
26K Views
ni mjamzito??! hongera kama kweli.:redfaces:
0 Reactions
50 Replies
9K Views
nilikuwa nauliza kama mnaweza kunitajia majina ya hawa waheshimiwa...kama kutakuwa na taarifa zao za ziada basi ndio mtakuwa mmefanya vyema zaidi MICHUZI: JK hosts East African Law Society...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wapi Joeali bendera, na wenzake katka jukwaa la siasa katka Tanzania
0 Reactions
16 Replies
2K Views
...Nilikuwa mfatiliaji mzuri wa hawa vijana wa Original Komedi wakiwa EATV.Kwa kweli nilikuwa sikosi kila kipindi hiki kilipokuwa kikirushwa,baada ya kuamia TBC1 vijana hawa wamekosa...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Kwa jinsi huyu mbunge alivyochangia hoja bungeni, nashindwa kuamini kura alipataje! Au wanaume nao wana viti maalum????
0 Reactions
13 Replies
3K Views
wanajamvi ,kwa wale wapenzi wa kipindi cha vichekesho cha Futuhi kinachorushwa na star tv,ningependa kujua kama kuna yeyote anayefahamu kuhusu wale waanzilishi wa kipindi hicho! Maana ni wiki...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
endeleza libeneke pande hizo za obama kama kawa.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
huyu jamaa yuko simple sana na mziki wake unaeleweka hapa tayari kabeba tuzo 4 za kili mpaka sasa. kuangalia tweeter na fb naona watu wengi hawakubali...why?
1 Reactions
100 Replies
14K Views
Mariah Carey Paints A Butterfly On Her Pregnant Belly March 28, 2011 Mariah Carey, who is resting at home after experiencing false labor contractions sent her to the hospital on Friday night...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Chururu si ndondondo. Haba na haba ujaza kibaba. Matone Matone ujaza ndoo. Babu Ambilikile Masapila yeye hukusanya sh 500 kutoka kwa kila anayepata kikombe. Habari za kuaminika makusanyo hayo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wengi tulishtushwa na Hizi taarifa Hapo Jana. Jackie Chan is the victim of a sick, BOGUS death hoax. A gross prank that’s caught fire on Twitter and other social media this morning claims the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"All Doggs go to Heaven" ("Mbwa wote watakwenda peponi") kweli hawa jamaa walikua wanapendana sana!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…