Zamaradi atoa tamko baada ya kushindwa Ubunge

Status
Not open for further replies.

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
attachment.php


TAMKO RASMI


AM VERY HAPPY sababu NIMETHUBUTU kitu ambacho watu wengi wanakihofia na hiyo ni alama na dalili nzuri sana kwangu, siku zote naamini kwamba UTHUBUTU ni ALAMA YA UJASIRI na mtu jasiri ziku zote ATASHINDA TU. huu ni mwanzo mzuri kwangu ukizingatia kwamba target yangu haikuwa kushinda ila ni kujitengenezea mazingira mazuri na njia ya kujitambulisha kwenye siasa, na kwa kiasi kikubwa sana nimefanikiwa katika hilo (kufikia targert yangu)na huo ni ushindi tosha kwangu.

NILICHOFURAHI ni kwamba UWEZO WANGU UMEONEKANA na NIMEFURAHI pia kwa KUTEULIWA kuwa MJUMBE kwenye KAMATI YA MAHUSIANO NA JAMII. Its a good starting point and am really happy ndani ya muda mfupi huu niliokuwa kwenye mchakato nimejifunza vitu vingi sana na nimepata experience kubwa mno, naweza nikasema ZAMARADI wa wiki mbili zilizopita ni TOFAUTI na ZAMARADI wa sasa kwani kuna mengi sana ambayo nimeyaona na kujifunza.

Nataka nitamke rasmi kwamba huu ni mwanzo wa safari yangu ya kisiasa, sijaishia hapa na kwasasa ndio nimetumbukia rasmi kwa miguu yote miwili.Penye nia pana njia na mimi NIA ninayo na naamini njia itapatikana. kwa wanaonisupport nashkuru sana na naomba muendelee kunisupport kwani VIJANA ndio sisi, vijana ndio taifa la leo na kesho hivyo sisi ndio wa kuleta mabadiliko na vijana TUNAWEZA, anaeamini hawezi basi HATOWEZA kamwe.

Otherwise namshukuru MUNGU,Najua NAWEZA na NITAFIKA TU MBALI kwa uwezo wake MUNGU.
 

Attachments

  • naipenda.JPG
    naipenda.JPG
    62.3 KB · Views: 1,001
Siasa sasa imekuwa sawa na mcharuko au mdundiko kula mtu yuko huru kuingia kwenye mduara na kuucheza hauna hata kanuni,vibaka,waungwana,kenge,makokoro wote huingia kucheza
 
Siasa sasa imekuwa sawa na mcharuko au mdundiko kula mtu yuko huru kuingia kwenye mduara na kuucheza hauna hata kanuni,vibaka,waungwana,kenge,makokoro wote huingia kucheza

HAHAAA hahaaaaaaa,u r funny,thats Tanzania politics,kila mtu ana test ZALI likitiki sawa,likidunda wanahama vyama....we are not serious.Kama huyo Dada hakuwa serious ye alikuwa anatest Zali....teh teh hehee.:smile:
 
za kupotea hivyo ndio nini? niambie jamani mana cjajibiwa, ni nani huyu mdada? ana cheo gani huko juu?

Sorry sorry! Haya macho wakati mwingine balaa....huyu mdada anavuvuzela pale clouds hana chochote zaidi. Nilienda jaribisha kaubunge....sikuwa na pesa ya rushwa nimeshindwa vibaya I just scooped kura 3 hahahahaahh siasa balaaaa
 
Sorry sorry! Haya macho wakati mwingine balaa....huyu mdada anavuvuzela pale clouds hana chochote zaidi. Nilienda jaribisha kaubunge....sikuwa na pesa ya rushwa nimeshindwa vibaya I just scooped kura 3 hahahahaahh siasa balaaaa

ndio alikuwa anagombea ubunge? heee kweli Amina kawafungua wengi macho/mackio khaa...hiyo pesa hukuitaka tu ungenishirikisha yamengekupata hayo.
 
ndio alikuwa nagombea ubunge? heee kweli Amina kawafungua wengi macho/mackio khaa...hiyo pesa hukuitaka tu ungenishirikisha yamengekupata hayo.

Alikuwa anataka naye awe kama Amina Chifupa (RIP).
Binafsi nimejifunza mengi sana kwenye mchakato! Jamaa wameninywea pesa yangu kiduchu na pia kuna ushirikina wa kufa mtu! Sitaki tena siasa
 
wanajaribu bahati................pengine mkuu keshamuona .....wakati wa viti vya upendeleo anapewa chake.


siasa tanzania haina majukumu ya ku serve watu, ni sehemu ya kutengeneza jina na pesa tu
 
Ni Mtangazaji wa clooudds FM kipindi cha leo tena
eti aligombea lakini hakutaka kushinda, haka ka bonehead ndio kanawekwa kwenye radio Watanzania tukasikilize? Isije kuwa ndio wale Sugu anaowaongelea yatima wanaosaidiwa na kurepiwa repiwa pale clouds fm
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom