Pipi aka Doreen mdogo wangu hii video ulikurupuka saana kuanzia pozi,make ups, mavazi, shooting kuimba yaani kila kitu hakipo mwake. Sema mwamnzo mgumu next time usiwe mbahili tafuta studio ya maana- By the way wimbo wako mzuri.
YouTube - Pipi - First Time ( OFFICIAL VIDEO )
YouTube - Pipi - First Time ( OFFICIAL VIDEO )