Waandishi wa habari kuhamahama imekaaje hii?

Solita

Member
Nov 29, 2010
47
4
Jamani wanajamii kumekuwa na wimbi la waandishi wa habari hasa wale wa TV na REDIO kuhama kutoka chombo kimoja cha habari kwenda kingine, hii inaashiria nini?
 
Unataka kufanya HR RESEARCH? plz si la kujadili hapa, tengeneza questionaire and distribute them to right persons and you will get your responses.
 
Ili kujifunza mambo mapya yanayoendana na teknolojia mpya ambayo labda hayapo ktk media house moja, nyingine yapo. kupata nafasi za kusoma,kujiendeleza kwa uhuru, and of course maslahi
 
Back
Top Bottom