Ridhwani aachia ngazi IMMA?

Kunta Kinte

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2009
Messages
3,674
Likes
236
Points
160

Kunta Kinte

JF-Expert Member
Joined May 18, 2009
3,674 236 160
Wadau kuna taarifa kwamba Ridhwani ametoa Notice ya kuacha kazi IMMA advacates baada ya kusemewa mbovu na Magai, je taarifa hizi ni za kweli? mwenye kujua zaidi atujuze tafadhali
 

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2010
Messages
11,840
Likes
49
Points
145

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2010
11,840 49 145
Naona alikuwa anaiboa management ya IMMA,kwa kuwa muda mwingi alikuwa anajihusisha na masuala ya kampeni za baba yake!na kusahau kuwa yeye ni mfanyakazi kama wafanyakazi wengine,na anapaswa kutii na kuheshimu sheria za kazi!
 

Ngisibara

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2009
Messages
2,173
Likes
491
Points
180

Ngisibara

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2009
2,173 491 180
Wadau kuna taarifa kwamba Ridhwani ametoa Notice ya kuacha kazi IMMA advacates baada ya kusemewa mbovu na Magai, je taarifa hizi ni za kweli? mwenye kujua zaidi atujuze tafadhali
By the way...who & what is Magai? na alisemewa kitu gani...(mvua njooo katerina njooo)
 

Ngisibara

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2009
Messages
2,173
Likes
491
Points
180

Ngisibara

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2009
2,173 491 180
IMMA ni:

-Ishengoma (Sasa hivi ni judge wa mahakama kuu-mteule wa JK)

-Magai

-MAsha

Hivyo Magai ni mmoja wa founders wa IMMA
Asante mkuu kwa elimu uliyotoa, ina maana alikuwa anaelekezwa nidhamu na yeye akasusa kwa kiburi cha urais wa baba yake...na akafirieko mbali kokote kule
 

Forum statistics

Threads 1,203,555
Members 456,824
Posts 28,118,628