"Macho Man" Randy Savage, a pro-wrestling legend, died Friday morning in a car accident in Tampa, Florida, TMZ reports.
Savage, 58, reportedly suffered a heart attack while driving and lost...
....GARI LA OBAMA....LABUMA NCHINI IRELAND...!
Source: Bloggers
.....hii ilishawahi kutokea pia kwa gari la Rais kikwete
Rais Barack Obama ameanza ziara ya nchi za Ulaya na atatembelea...
Kabla ya twitter na youtube na facebook alikuwepo huyu bwana....Gill Scott Heron
RIP BRO...
YouTube - ‪Gil Scott Heron - The Revolution Will Not Be Televised‬‏
Jeff Conaway dies aged 60
Actor who made his name playing bad boy Kenickie in Grease was taken off life support after remaining in coma for two weeks...
Na Waandishi Wetu
Kwa namna ya kipekee, gwiji wa unajimu barani Afrika, marehemu Sheikh Yahya Hussein aliyefariki dunia Ijumaa iliyopita, hatasahaulika kutokana na historia yake.
Umati wa...
Nilikuwa nasikiliza kipindi chake cha 'ALA ZA ROHO' kinachoruka hewani kuanzia saa 4-6 usiku(clouds fm) ambapo alikuwa anasherehekea birthday yake na aliwaalika watu kadhaa studio.Katika porojo za...
Habari za kuaminika zimepatikana yule dada aliyesumbua magazetini maarufu kama Sinta ndoa yake aliyofunga na kijana wa kiganda mwaka 2009 imefunjika na amerejea rasmi jijini Dar.
kwa kweli sijaelewa kilichotokea maana kama ni likizo..likizo gani ndefu namna iyo alafu waliokamata usukani wawafunike hadi uwepo wenu usahaulike mapema hivyo....:A S 103:
inshort huwa...
Habari yako msomaji!
Kama hapa ndani kuna mtu wa Starttv mhusika yeyote hata kama ni mfanyakazi wa pale au kiongozi wa pale naomba tuwasiliane kuna kitu napenbda kushare nane!
thanks
One of the most-watched programmes in US history, The Oprah Winfrey Show, is ending after 25 years. But the impact of its hostess goes far beyond television.
Her first episode, entitled How...
Nimekuwa nikiufuatilia huu muziki wa bongo fleva kwa muda sasa na katika kusikiliza kwangu baadhi ya nyimbo za Hamad 'Madee' aka Rais wa Manzese na Selemani Msindi 'Afande Sele' aka Mfalme sele...
Kila mara Nape Nnauye anavyoropoka huwa najiuliza hivi na Baba yake alikuwa hivi? Naombeni msaada kwa wale mnaojua vizuri historia ya Mzee Moses Nnauye isije kuwa tunamponda bure mtoto wa watu...
habari zenu wapendwa!!!naomba kuuulizia alipo mheshimiwa katibu mkuu mstaafu wa ccm na anafanya nn maana 2naona kimya sana au ndo nae keisha pewa ubalozi tayari?naomba mnijuze wakuu......
Wana jf kwa habari nilizopata hivi punde kupitia 88.4FM mtoto wa Sheh Yahya ameongea hewani akisema babake alishamkabidhi mikoba yake yote na ofisi zote zilizopo Tz, Kenya, London na swazland.
So...