Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wandugu naomba kuwasilisha, tabia za baadhi ya ma MC zimekuwa ni mbaya sana hata kusababisha watu na sherehe zao kujikuta kwenye taharuki kubwa. Ukweli ni huu: MC Chitanda ambaye ni mfanyakazi...
0 Reactions
43 Replies
11K Views
Binti wa Rostam Aziz Ama kweli ukila na kipofu usimshike mkono, fisadi namba moja nchini kwa kweli anafaida sana hela zetu walala hoi maana binti yake anasoma shule moja binafsi na ghali sana...
2 Reactions
121 Replies
18K Views
Ashukuriwe mungu aliye juu tareh ya leo yaani 6 may , natimiza robo karne, ni furaha ilioje, utukufu ni kwa mungu aliye juu!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wapenzi wa Figure skating bila shaka mtakuwa mnampata kijana Robin Szolkowy - Wikipedia, the free encyclopedia, baba yake inasemekana ni mtanzania ila hawajawahi kuonana. Wazee wa JF kama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mheshimiwa Mbunge akifunguka kuhusu mahusiano yake...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
nimezipata kama tetesi -------------- UPDATE: Sound man wa kikundi cha Ze Komedi kapata ajali na kufariki hii leo
0 Reactions
99 Replies
19K Views
A new photo of Gerard Piqué in suspicious situation with a man creates controversy in Spain. Barcelona player, who is linked with the singer Shakira, had been photographed with Zlatan...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Hakika dunia bila ugaid ni sawa na bunge bila upinzani, hii ni kutokana na sera za wamagaribi wanaojiona wao ndio miungu watu ktk hii dunia, hata kama kauliwa kiongozi wetu Osama bin ladeni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Je msiba wa Michael Jackson na harusi ya Prince William na Kate, ni tukio lipi limeangaliwa na watu wengi duniani?
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Muigizaji Maarufu hapa nchini Steve Kanumba leo anazindua filamu yake mpya katika ukumbi wa kizota uliopo mkoani Kigoma. Wadau wa sanaa hii mnaombwa mjitokeze kwa wingi sana katika kumuunga mkono...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
So, basically, this is Venus Williams’ butt… Posted by: 3am 19/01/11 05:30 pm Tags: Venus Williams, It's all about moi...
0 Reactions
52 Replies
23K Views
Just FYI,i dont know if it makes sense to u...go through it and try to digest!!!! "Alejandro” by Lady Gaga. Very subtly the devil sneaks into our lives to steal and destroy souls! .We don’t...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Madee mwanamuziki wa midundo ya bongo flavor amekufuru kwenye wimbo wake anaosema amepata mateso makali kuliko ya Yesu. Wakristo wanaamini kuwa hamna mtu amewahi kuteswa kama yesu. Madee akiwa ni...
4 Reactions
133 Replies
22K Views
You know here in jf kila mtu anatumia anonymous names..so its hard to know people this is how I imagine people walivyo in really life excluding my cupcake since I know him lol...
1 Reactions
433 Replies
45K Views
Mariah Carey and Nick Cannon Are Parents of Twins Stephen Lovekin/ Getty Images By JACK SWIKER April 30, 2011 Mariah Carey and Nick Cannon are now parents to twin babies, arriving as the...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Muslim Actress Reportedly Receives Threats for Playboy Pictorial Published April 27, 2011 | FoxNews.com Sila Sahin...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nimekuwa mbali na jamvi kwa muda najua watoto wapya wamezaliwa na wengine wameondoka.Toka jana usiku profile mpya ya JK Twitter imekuwa inaongezeka kwa kasi,katika usiku mmoja amepata followers...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
(Picha kwa hisani ya Mchonga) Naomba anawajua hawa warembo wa Bongo atupe majina yao
0 Reactions
30 Replies
40K Views
Ni moja kati ya watangazaji chipukizi wa tv nchini na anajitahidi lakini sipendi tabia ya star tv ya kuwapanga watangazaji katika vipindi mchanganyiko mara sports news,mara tuongee asubuhi,mara...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Back
Top Bottom