Gari la OBAMA labuma akiwa ziarani nchini Ireland | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari la OBAMA labuma akiwa ziarani nchini Ireland

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Kivumah, May 26, 2011.

 1. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ....GARI LA OBAMA....LABUMA NCHINI IRELAND...!

  Source: Bloggers
  .....hii ilishawahi kutokea pia kwa gari la Rais kikwete

  [​IMG]
  Rais Barack Obama ameanza ziara ya nchi za Ulaya na atatembelea Uingereza,Ufaransa na Poland ikiwa ni sehemu yake ya ziara ya Europe,lakini kwa sasa yuko nchini Ireland na jana wakati anatoka US Embassy ya Dublin-Ireland gari lake aina ya limmo aka The Beast liligoma likiwa getini wakati linatoka na kuamua kulisogeza basi mbele yake ili kuwazuga wananchi wa Dublin waliokua nje wakimsubiri kumpungia mikonoz wasilione gari la Rais Obama lilivyogoma

  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]The Beast aka Cadillac One,inakadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 1,na lina urefu wa futi 18 na uzito wa tani 8 pia haliingii bomu wala risasi kabisaaaa...

  [​IMG]Prezidaa Obama alitembela pande za Moneygall, kijiji kilichoko Ireland ambapo inadaiwa kuwa babu wa babu zake Rais Obama aliishi pande hizo akifanya kazi ya kutengeneza viatu aka shoemaker

  [​IMG]....MUUNDO MZIMA WA CADILAC ONE AKA THE BEAST....!
  Source: Bloggers

   
 2. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Wazungu walinyanyasika - lakini katika teknolojia hakuna garantii ya 100%
   
 3. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  i hope si kwa sababu ya mafuta yaliyochakachuliwa.
   
 4. Kariakoo

  Kariakoo Member

  #4
  May 28, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau hapan sio kwa ajili ya mafuta, hapo Ubalozini hawatumii sana njia hii na pana kimlima kidogo ambacho kulingana na urefu wa gari la obama, lilisababisha hilo tuta liwe kama PIVOT na kufanya "see-saw"
   
Loading...