Eti Sinta kaachika..

mchapa shughuli

JF-Expert Member
May 19, 2011
549
422
Habari za kuaminika zimepatikana yule dada aliyesumbua magazetini maarufu kama Sinta ndoa yake aliyofunga na kijana wa kiganda mwaka 2009 imefunjika na amerejea rasmi jijini Dar.
 
jamani haya mambo ya ndoa mimi mmmmh
matam na machungu ya ndoa yake anayajua mwenyewe.....
 
jamani haya mambo ya ndoa mimi mmmmh
matam na machungu ya ndoa yake anayajua mwenyewe.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom