Inahitajika Ze Utamu nyingine

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Mnaonaje wakuu....hii kitu nimeimisi kinoma kama vipi tutafutane wanaJF makini tuanzishe zeutamu yetu....yale makitu was oooh yeaah
 
mi ninayo yakwangu 2ma picha zako niweke juiangalie uwe bisy arifu, co maniaje niaje lakin
 
Ile mambo ilikuwa tamu sana!
Ilikuwa inasababisha kila mtu kuwa makin wakati wa ku-do cuz ukifanya mzaa unakuta picha zako kwenye blog!
 
Du..! si utani hata mimi nimeimiss sana ile kitu.Nakumbuka nilikuwa nikifungua JF wakati huo ikiitwa....?na huku naifungua ZE utamu,basi hii wakati inasearch ile nyingine uliyominimize inakuwa tayari ishafunguka,ilikuwa burudaaaani kweli kweli.
 
Back
Top Bottom