Regina Mwalekwa na Asma Makao ndo tusemeje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Regina Mwalekwa na Asma Makao ndo tusemeje

Discussion in 'Celebrities Forum' started by mkonowapaka, May 25, 2011.

 1. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  kwa kweli sijaelewa kilichotokea maana kama ni likizo..likizo gani ndefu namna iyo alafu waliokamata usukani wawafunike hadi uwepo wenu usahaulike mapema hivyo....:A S 103:

  inshort huwa nalazimika kusikiliza jahazi jioni mara nyingi (sababu nje ya uwezo wangu) ila tangu mmeaga kiaina ni muda sasa umepita no hear you au ndo janja ya Seba kuwatupia kapuni mkatafute habari nyuma ya pazia..teh teh Chezea Clouds wewe :msela:
   
 2. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Nahisi itakuwa wamewasepesha kimyakimya,ila me naona waliopo Wasiwasi,Anold,kibonde wana-fit zaid coz kile kipind kinahitaji mtu mfuatiliaji wa mambo mbalimbali na anayejua mambo mengi mfano; ilikuwa ikifika segment ya michezo wanakaa kimya anaongea kbonde pekeyake.Anold namjua ktambo ana upeo mkubwa,hata Wasiwasi naona yuko poa.
   
 3. L

  Loloo JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  true kayanda ana upeo mkubwa sana huwa nauadimmire sana keep iit guy
   
 4. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Hawa mabibie walikuwa vilaza kiaina
   
 5. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  dah hasara ilioje maana apo kurudi radio one ndo haiwezekani wanabaki na stress tu vichwani....ndo mkome clouds ni zaid ya kipaji cha utangazaji
   
 6. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2011
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Mmmmmhhhh!Kwani wameharibu ama ndiyo sifa za ajira hawana?!
   
 7. Kajuni

  Kajuni JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Naona Seba atampangia Regina KIPINDI CHA MAMA NA MWANA jahazi si la stori za kitoto kitoto!
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Huyu anaebana puwa muda wote? huyu lazima anatafunwa na wanamume huyu i can bet on that.
   
Loading...