Start tv Mwanza

Radio Producer

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
724
295
Habari yako msomaji!
Kama hapa ndani kuna mtu wa Starttv mhusika yeyote hata kama ni mfanyakazi wa pale au kiongozi wa pale naomba tuwasiliane kuna kitu napenbda kushare nane!
thanks
 
Kiongozi mawasiliano ya STARTV hayana kificho.Kwanini ucwatwangie moja kwa moja!
 
Mkuu unaonaje ungeeda kwenye website yao utapata macontact kisha ushare ulichonacho

mkuu niliamua kutafuta contact iliyo easy zaidi ili niweze kufanikisha zoezi langu vizuri hizo za kwenye web sijafanikiwa kabisa!
 
Back
Top Bottom