Hivi akili za mzee moses nnauye zilikuwa ni sawa na hizi za mwanae nape?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi akili za mzee moses nnauye zilikuwa ni sawa na hizi za mwanae nape??

Discussion in 'Celebrities Forum' started by TUMBIRI, May 24, 2011.

 1. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kila mara Nape Nnauye anavyoropoka huwa najiuliza hivi na Baba yake alikuwa hivi? Naombeni msaada kwa wale mnaojua vizuri historia ya Mzee Moses Nnauye isije kuwa tunamponda bure mtoto wa watu kumbe ni mambo ya kurithi.
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Oh Yes... the father was divisionalist as his Son... he had more Enemies than Friends within the Party...

  By then it was OK to be disliked it was One Party Dictatorship make decisions like in a military


  LIKE FATHER LIKE SON!!!
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nahisi ndivyo alivyo kua,
  mara nyingi mtoto ana reflect jinsi alivyo mzazi wake/alivyokua!!!
  haiwezekani mgomba uzae maembe bana
   
 4. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Je na waliomchagua Je! akili zao zikoje? kama za Nape? Du! kweli watz tunakazi kubwa!
   
 5. domokaya

  domokaya JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2011
  Joined: Apr 22, 2010
  Messages: 3,155
  Likes Received: 1,280
  Trophy Points: 280
  Mzee Moses Nnauye alikuwa mtu mwenye akili timamu hasa, mwenye msimamo na aliyeamini katika siasa ya ujamaa, hakumchukia mtu kwa majungu wala kwa kutofautiana nae mawazo, hakuwa mwingi wa maneno bali vitendo zaidi. Alijali watu na kuwaheshimu sana. Hakupenda mali wala hakuitaka kabisa imsogelee. Alipofariki aliagiwa kwa mkuu wa mkoa kwani hakuwa na hekalu la maana ambaolo viongozi wa CCM wangependa awe nalo na mahala hapo ndipo pawe mahali pake pa kuagiwa. Moses Nnauye, Julius Nyerere na Daudi Mwakawago ndi watu walioamini hasa katika ujamaa na kuweza kuutekeleza kwa vitendo. Moses Nnauye wa watu alikuwa mpiga kinanda mashuhuri na hodari sana. katika mashindano ya upigaji vinanda alishindwa na mtu mmoja tu, nae ni mtoto wake wa kiume, sio Nape. Hukuna uhakika kama Nape ni mtoto wa mzee Moses Nnauye au aliwahi kupata malezi ya mzee yule. Nnape ameibuka hivi juzijuzi tu na hilo jina lakini uhusiano na yule mzee marehemu bado unatia mashaka. Anayekuambia Nnape ni kama mzee Moses Nnauye huyo, mwongo au hajui kama hajui halafu hataki kujua kama hajui
   
 6. domokaya

  domokaya JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2011
  Joined: Apr 22, 2010
  Messages: 3,155
  Likes Received: 1,280
  Trophy Points: 280

  Ukiwa na maadui wengi ndani ya CCM bila kujali ni CCM ipi ya kale au ya sasa, definetely wewe ni mtu mzuri. Kuwa mkweli bila kujali ushabiki wala mahaba yako kutasaidia kuliondoa taifa hapa lilipo. Kuujua ukweli na kuukataa kwa mapenzi binafsi ni unafiki. Unafiki ambao ndio umetufikisha hapa tulipo. Tusioneane haya kuambizana ukweli wala kukatazana kufanya majungu
   
 7. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,436
  Trophy Points: 280
  ..not sure about that! ila kabadilika sana huyo dogo alikua na substance kichwani kipindi cha nyuma, sijui nini kimetokea
   
 8. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  True, lkn ungeongeza kuwa alikuwa womanizer mkubwa sana!!
   
 9. O

  Omumura JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hapo umenena mkuu, jamaa alikuwa hapitwti atii!!
   
 10. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Mnapomzungumzia Mzee Moses Mnauye Mnanikumbusha President wa UDSM - BAZIGIZA, safari ya Pyongyang na statement za mzee mnauye za Chuo kikuu cha Manzese.
   
 11. F

  FUSO JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  JF mshaanza na nyie, hebu mwacheni mwenzenu atimize wajibu wake, msije mtachokonoa chokonoa mpaka mje na kali kamba ni mtoto wa kufikia ..!!
   
 12. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Good Example Makamba ok he was like Makamba then... weigh your thoughts...
   
 13. F

  FUSO JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  haya sasa mengine.
   
 14. domokaya

  domokaya JF-Expert Member

  #14
  May 24, 2011
  Joined: Apr 22, 2010
  Messages: 3,155
  Likes Received: 1,280
  Trophy Points: 280
  Makamba alikuwa na maadui lakini si wengi kuliko marafiki ndani ya CCM, kwa tabia zao na utashi wao walimfurahia na walimouna bora kuliko Mangula, Mangula alikuwa na mpaka sasa ana maadui wengi ndani ya CCM kuliko Makamba. Makamba angekuwa na maadui wengi wasingekaruhusu kale katoto kake pale. Makamba hakupendwa na watu wenye akili timamu wengi na hao watu si rahisi kuwakuta CCM, ingawa wapo lakini ni wachache sana
   
 15. M

  MJM JF-Expert Member

  #15
  May 24, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 461
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Nape namwona kama Magamba in action kwa kuropoka. Asichojua ni kwamba ukizeeka unakuwa kama mtoto na magamba alikuwa kwenye diminishing return
   
 16. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #16
  May 24, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mzee nauye alikuwa mpiga ngoma ktk kikosi cha burudan cha chama. Huyu mzee alikuwa anabusara sana, hata mafanikio ya sasa ya mwanae Nape kwa namna moja yanatokana na msingi aliouacha huyu mzee ktk chama!
   
 17. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #17
  May 24, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Si lazima kila mtoto awe na tabia kama za baba yake.
  Mzee Nnauye hakuwa mtu wa kuropokaropoka. Alikuwa makini sana.

  Lakini kwa upande mwingine si busara kuleta stori za familia yake na kumwongelea Marehemu Nnauye negatively eti kwa sababu tu hupendi mambo ambayo mtoto wake anaongea au anafanya.

  Huyu kijana naye sio kwamba ni mropokaji kwa hulka. Ni sehemu tu ya kazi yake, katika kupiga debe, lazima itokee aongee mambo mengine tusiyopenda. He is just doing his job.
  Kama akiongea siasa zisizo faa, anatakiwa kumjibu kwa kiwango hicho hicho. Hiyo ndio siasa.
   
 18. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #18
  May 24, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,420
  Likes Received: 3,768
  Trophy Points: 280
  Mtoto wa nyoka naye huwa nyo...kaaaaaaaaaa................. sisimizi hawezi kumzaa tembo
   
 19. K

  KAPIRIPIRI Member

  #19
  May 24, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Heri uchi wa nguo kuliko uchi wa kichwa,Nape jirekebishe
   
 20. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #20
  May 24, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mtaongea sana
   
Loading...