Wakuu kwa wale wapenzi wa kuyarudi mangoma hapa Arusha enzi zile za Cave Disco Tech New Safari Hotel miaka ya 1988 -90s alikuwepo huyu DJ alikua anaturusha sana kwa mipangilio ya kuchanganya...
Yule mtangazaji nguli na gwiji mahiri katika nyanja ya habari amekula shavu la kuendesha kipindi cha nhc shirika la nyumba na makazi yuko live tbc anaelezea mikakati ya shirika lake katika...
Mastaa wanao-hit hivi sasa
SINTA aka J LO wa Bongo na JACK WOLPER aka AMBER ROSE wa Bongo walipimwa ukimwi pale kwa Mama ngoma na haya ndio majibu yao
.Hongereni sana kwa ujarisiri wa kupima...
vini ni kweli kuwa tanzania yetu hakuna msanii katika tasina yoyote ile aliyofika level ya usuperstar kwa maana ya kutambulika kimataifa
na kazi yake kujulikana kimataifa
After little more than two months of marriage, Kim Kardashian is filing for divorce from Kris Humphries. Ryan Seacrest confirmed the news Monday morning on Twitter:
TMZ first broke word of a...
Imetokea hata masaa hayajaisha.. Panel Yote imekaa ikimngojea Mganda huyu, sijui alichelewea wapi manake aliyemaliza kuwakilisha alikuwa mjumbe kutoka Botswana, na sasa Mganda akaingia na moja kwa...
Huyu jamaa namkubali sana katika Comedy za kibongo hapa kwenye track ya hussein machozi kafunika ile mbaya.
Akaja hapa kwenye video ya Iveta ya msanii Sajna akaipendezesha video na ikatokea...
wana JF, kesho kuna mechi nzuri sana ambayo sitaki kuikosa amabapo watani wa jadi Tanzania watapambana kugombea point 3 muhimu, wewe kwa mtazamo wako unadhani ni timu ipi itaibuka kidedea na kwa...
The U.S. government may soon own one of Michael Jackson's white gloves, a $530,000 Ferrari and a $30 million Malibu estate if it succeeds in seizing them from the son of a corrupt African...
Marehemu alizaliwa mwaka1961 nakupachikwa jina la utani Changa,marehemu ameachamkenawatoto.wahenga walisemaukistaaajab ya Mussa utayaona ya Firauni na wengine wakasema kushangaa mara moja ya pili...
Kuna tetesi kuwa Saed Kubenea, mhariri mkuu na mmiliki wa gazeti pendwa la MwanaHALISI naye ni miongoni mwa waandishi wa habari walionunuliwa na Rostam Aziz, Edward Lowassa na Andrew Chenge kwenye...
Hii imeniacha hoi sanaa, it one of the illest quotes i have heard..
"To the Libyans, I am holiest than the emperor to the Japanese!
and which of his quotes made you crack?
Nyumbani mama umemuachia bukuuuuuuuu..........
Kishtobe ba umemnunulia kukuuuuuuuuu.......
Kurudi kwako ni usikuuuuu........
Naenda kusema kwa mamaaaaaa...
Kila kitu kina taaluma yake sasa jana nilikua nasikiliza kipindi cha michezo 100.5 times fm.Kuna dada mmoja anaita Zainabu Kilwale ana sauti mbaya kama teja la kike vile.
Mimi naona hizi sauti...
Kwenu Jf,
Watanzania wengi hususani vijana wanahitaji mabadiliko, ni matumaini ya watanzania walio wengi kuwa nchi yetu imeiva kwa mageuzi, na pasipo ubishi wowote waandishi wa habari kama alivyo...
Jana jioni kulukuwa na uvumi ulioenea ktk mitandao mbalimbali kuwa Bibi Kidude amefariki dunia jana.
Akiongea na kipindi cha Super Mix kupitia simu ya msanii wa bongo flava, AT amesema ni kweli...