Historia ya marehemu Tanzia bin Niayako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Historia ya marehemu Tanzia bin Niayako

Discussion in 'Celebrities Forum' started by MR NDEE, Oct 28, 2011.

 1. M

  MR NDEE Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Marehemu alizaliwa mwaka1961 nakupachikwa jina la utani Changa,marehemu ameachamkenawatoto.wahenga walisemaukistaaajab ya Mussa utayaona ya Firauni na wengine wakasema kushangaa mara moja ya pili uliza swali na ukiendelea kushangaa ni isharaya kutaka shari marehemu alizaa na mwanamke mmoja wakati badoyu mchanga,alizaa watoto wawili na mke huyu anayeitwa uzalendo watoto hawa ni Ujamaa n Utaifishaji.

  Watoto hawa walikuwa na fikra na mitizamo ya kimapinduzi na kuisaidia jamii ya wanyonge Ujamaa aliwaasa watu waache taboa ya kujilimbikizia mali,kunyonya watu naaina mbalimbali za ukandamizaji falsafa yake ilikuwa ni binadamu wote ni sawa watu walihamasika wakafanyia kazi fikra hizi wakaishi kwa upendo,wakaneemeka,wakawa ndugu,wakagawana zao laokwa faida ya wote,watoto wakalelewa na jami nzima kwa faida ya jamii,maadili yakalindwa kijiji kikawa mfano.

  Ubinafsishaji nayealipenda mali zote zimilikwe na sirikali kwa faida ya jamii nzima waliojilimbikizia mali wakataifishwa,watubinafsi,taasisi za dini wote nao mali zao zilitaifishwa,kuanzia mashule,mahositali na majumba vilitaifishwa.walanguzi walifungwa na kuchapwa viboko sio kama leo wanapigiwa makofi
  .
  Ivumayo haidumu,ngoma ikilia sana mwisho hupasuka,eboousiniite mswahili niite mzungu maanaya mswahili ni mtu tapeli,mlaghai,mnbabaishaji wa mambo asiyekubali kushindwa ahta kama hawezi. usinntempiga kelele kwani mimi si kondakta aumtangazaji wa mpira,samahgani nilisahau kuwa natoa haitoria ya marehemu;basi bwana kilichowakuta watoto hawa waliuliwa huko baharini,sikumbuki kama watu waliliaau walicheka sijui wala sikimbukilakini kuna waliosema KUFA MWANA WA KUFA NYOOOO.

  Marehemu akapata mtoto mwangineni katika hali ileilieya uchangaa yaani anatambaa usinulize kadumaaa au ndio taratibu kama kinuonga.mtoto huyu aliitwa Ubepari,mtoto alikuwa fedhuli,fisadi,mnafiki na mzandiki.mtoto akakuwa akatanuka nakunuka kama uvundo au shombo akadai ana nukia akawamlaghai,tapeli,zandiki,mbinafsi.anatoa dhahabu anapewa neti,anatoaalmasinajengewakaji shule halafu nakenua meno hahahaaa aliuza vitu vya marehem.

  Kutokana namateso haya marehem alizimia na hakuamka tena,hakuwa na pesa hivyo hakwenda India au Uingereza au hata hapo Kafurika Kazini,labdaleo tungesifia marehemu tlimshulikia kwlijamaa zangu,au chali marehem hadi waungu walimshindwa au itifaki imezingatiwa laikini mungu kapenda .

  Tunajuwahapakuna waganga na waganguzi,kunawanaharakati,kunawa dini,jitokezeni tumtoa msukule,tumuombe.wakusema pepotokaaa,wakulia,wakuombea,waubani na udi,wakucanja,tafadali saajitokezeni,walewamazingaumbwemsije mmezidisaundi ondokeeeeni.haya njooonibasiaumumemsusa marehemu?
   
Loading...