Bibi Kidude ni Mzima wa Afya, Hajafa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bibi Kidude ni Mzima wa Afya, Hajafa

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mrimi, Oct 26, 2011.

 1. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Jana jioni kulukuwa na uvumi ulioenea ktk mitandao mbalimbali kuwa Bibi Kidude amefariki dunia jana.

  Akiongea na kipindi cha Super Mix kupitia simu ya msanii wa bongo flava, AT amesema ni kweli alilazwa na kuongezwa chupa mbili za maji, lakini kwa sasa ameisharuhusiwa na hali yake iko vizuri kabisa. Amesema kuwa wale waliovumisha habari hizo anamwachia Mungu awahukumu.
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Duuuuh ina maana bibi Kidude hana simu mpaka leo hii! Ok, nashukuru kwa taarifa.
   
 3. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Oooh! Bi Kidude mwenyezi mungu ampe umri mrefu Inshallah.
   
 4. Rayz of Diamond

  Rayz of Diamond Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante Mrimi kwa taarifa....long live Bibi Kidude...
   
 5. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Zembwela alipopata habari hizo jana usiku alimtafuta AT na kumwomba amtafutie bibi huyu ili kama vipi amrushe live kwenye kipindi.
  So asubuhi hii ndipo alipomtafuta na kumkuta akiwa amekaa huku akivuta sigara yake taratiiiibu! Na hapo ndipo alipoweza kuongea na kipindi
  live.
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nimesikia akiunguruma Clouds FM. Anasema huyu Israel (mtoa roho) hajamwita na siku akifa wala haitakuwa tetesi, kila mtu atafahamu
   
 7. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  bi.kidude for REAL
   
 8. F

  Fernandes Rodri JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2011
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 407
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Kama kashazuliwa kufa basi kama si leo keshi tutasikia wanamzika
   
 9. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  "LISEMAMWALO LIPO NA KAMA HALIPO LAJA" twende kidogo tu!
   
 10. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Tuna shukuru kwa taarifa
   
 11. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #11
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Excellent upooo???????? ulituletea habari hapa jamvini jana
   
 12. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Khaaa Kwan nan kasema alikufa ? Hiv kwann jamii forum imeanza kushuka heshima kila m2 anatoa hoja hata bila uhakika wowote ?
   
Loading...