Sauti mbaya ya mtangazi wa kike wa michezo 100.5 times fm

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Kila kitu kina taaluma yake sasa jana nilikua nasikiliza kipindi cha michezo 100.5 times fm.Kuna dada mmoja anaita Zainabu Kilwale ana sauti mbaya kama teja la kike vile.
Mimi naona hizi sauti zinafanya hata kile kinachotangaza kionekane hakina maana yoyote.

Kuna baadhi ya watangazi keli ukiawasikia unasikia raha na faraja na unafuatilia ka umakini kile kinachotangazwa.Mfano Milad Ayo,kijana ana sauti ya utangazaji haswa.
 
Hapo umenena mkuu, halafu ongezea na mitangazaji ya CAPITAL FM. Yaani hawa wanaongea kwa lafudhi za kilugha cha nyumbani kwao. Wanakera sana, unajua kuwa mtangazaji sautu nzuri lazima ihusike.
 
Clouds kiukweli inajitahidi kwasuala zima la sauti za watangazaji...ila Times jamani msiba
 
Wewe unafuata sauti au habari? tafuta hivyo vijiredio vyako vyenye watangazaji wanaobana pua halafu wanatangaza pumba tupu
 
Kiukweli kiutangazaji sio habari tu sauti inahusu sana,km sauti mbaya sitashawishika kusikiliza hata hiyo habari yenyewe, km nzuri nitasilikiza mpaka matangazo ya kwenye hicho kipindi,lol!
 
nini tena preta...sauti za kutangazia bwana hahahahahhahaha

yaani shosti hata Dina hujamuona....Gea.....Arnold....Dk Isack.....jamani jamani......Gerald....PJ.....achana na Wasiwasi....yule bado anajifunza.......
 
yaani shosti hata Dina hujamuona....Gea.....Arnold....Dk Isack.....jamani jamani......Gerald....PJ.....achana na Wasiwasi....yule bado anajifunza.......
Preta mpenzi nawakubali sana hao jamaa wote...ndo maana nikasema Clouds wanajitahidi sana kiukweli....ila msiba uko kwa jirani zao Times
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom