Yuko Wapi Huyu Celebrity

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Wakuu kwa wale wapenzi wa kuyarudi mangoma hapa Arusha enzi zile za Cave Disco Tech New Safari Hotel miaka ya 1988 -90s alikuwepo huyu DJ alikua anaturusha sana kwa mipangilio ya kuchanganya nyimbo pamoja na marememu Dj Mac hope alikua anafahamika kwa jina la Dj Mac kama sikosei sijui yuko wapi siku hizi long time sana.
DJ Mac.jpg
 
Ndalo huyu haitwi Mike kweli.....?....mbona yupo.....
 
Walivuma sana enzi hizo sijui bado yuko kwenye hilo gemu la kuchezesha watu mangoma!
 
Hiyo picha siyo ya Mackhope, Mackhope ni mweupe, mnene, mfupi. Mara ya mwisho alihamia Dar.

Ukimsikia DJ maarufu wa zamani na sasa humsikii tena, ujue ndio hivyo tena!.
 
Wakuu kwa wale wapenzi wa kuyarudi mangoma hapa Arusha enzi zile za Cave Disco Tech New Safari Hotel miaka ya 1988 -90s alikuwepo huyu DJ alikua anaturusha sana kwa mipangilio ya kuchanganya nyimbo pamoja na marememu Dj Mac hope alikua anafahamika kwa jina la Dj Mac kama sikosei sijui yuko wapi siku hizi long time sana.
View attachment 40469

Hiyo picha siyo ya Mackhope, Mackhope ni mweupe, mnene, mfupi. Mara ya mwisho alihamia Dar.

Ukimsikia DJ maarufu wa zamani na sasa humsikii tena, ujue ndio hivyo tena!.
Mleta mada hajasema hiyo ni picha ya Mac Hope, bali bali huyo DJ kwenye picha alikuwa anachezesha pamoja na +Marhum Machope!
 
Kweli dada nawe umekula chumvi nyingi! nimepeleleza ni kweli anaitwa Mike na wewe ulikuwepo enzi hizo nini?

watu tumekula chumvi mpaka za mawe.....
nimemuona town wiki haijaisha....
nadhani aliona mziki haulipi akaingia kwenye mambo ya utalii...sina hakika sana....
 
Jomba,
Wanangu wanajua fika nyimbo za Bob Malya, wakati akifariki mimi mwenyewe nilikuwa primary...Je utawaambia wamekula viroba vingapi vya chumvi?
 
watu tumekula chumvi mpaka za mawe.....
nimemuona town wiki haijaisha....
nadhani aliona mziki haulipi akaingia kwenye mambo ya utalii...sina hakika sana....
Hawa watoto wa dotcom wana mambo!.
 
Back
Top Bottom