Mr Bean wa Bongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mr Bean wa Bongo

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Manyanza, Oct 31, 2011.

 1. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Huyu jamaa namkubali sana katika Comedy za kibongo hapa kwenye track ya hussein machozi kafunika ile mbaya.  Akaja hapa kwenye video ya Iveta ya msanii Sajna akaipendezesha video na ikatokea kupendwa saana kutokana na uwepo wake  Kwenye starehe gharama ya Tunda Man akajitokeza sana na kuifanya video ionekana imekaa njema  JAMAA ANAJULIKANA KWA JINA LA MBOTO.. NAMKUBALI SANA
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kweli mboto ni mkali, ila kuwa mr bean wa bongo iyo sasa imezidi
   
 3. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ukiangalia hizo video tatu utagundua jamaa ana kipaji kwa hapa Bongo me nampa title ya Mr Bean

   
 4. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  zote nimeziona hizo video na pia namkubali sana ila level za mr bean bado
   
 5. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Huyu Jamaa, hana lolote vituko anavyofanya sio ubunifu isipokuwa anaiga tu. Kama Unataka Kujua Kama hana lolote ktk comedy muangalie ch10 ktk vituko show na kitimtim utagundua yeye ndiye anayeboa sana hadi naona sikuhizi hawampi tena script. Kwa Ujumla huwa namkubali sana King Majuto maana anajua haswa anachokifanya huyo ndiye unaweza kumfananisha na Mr. Bean sio Mboto.
   
 6. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,223
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Mboto msanii mzuri. Alianzia kwenye 'MIZENGWE' ya ITV, sijajua kwa sasa anaigiza na kundi gani!
   
 7. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Duuu hiii kali ndo mambo ya ubunifu
   
 8. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ukiangalia hizo video utagundua jamaa ni mkali namkubali

   
 9. a

  alejandro Member

  #9
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi mgeni humu..
   
 10. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  jamaa ni mkaree.
   
Loading...