Nasema kwa mamaaaa

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,831
1,164
Nyumbani mama umemuachia bukuuuuuuuu..........
Kishtobe ba umemnunulia kukuuuuuuuuu.......
Kurudi kwako ni usikuuuuu........
Naenda kusema kwa mamaaaaaa.........
Nasemaaaaa........nasemaaaaa..............
 
Hebu punguza ukali wa macho.....mtoto mnoko sana weye kupigia mijicho round za mdingi, lol...........
 
Mjinga kweli, badala ya kukaa, ukajifunza ukapata ujuzi wa kuto...za kama dingi wewe unakimbilia kwenda kusema kwa mama! Mama ameshazeeka sasa wewe, tulia noa kisu ule nyama!!! Haya Mpwa umenikumbusha mbali nilipombamba Mdingi enzi hizo na mwanamke mwingine.....tuyaache bhana, wee kaseme tu hata mimi nilisema nikaambulia kunyimwa shilingi kumi ya shule!!!
 
Nyumbani mama umemuachia bukuuuuuuuu..........
Kishtobe ba umemnunulia kukuuuuuuuuu.......
Kurudi kwako ni usikuuuuu........
Naenda kusema kwa mamaaaaaa.........
Nasemaaaaa........nasemaaaaa..............

Ukisema sitakununulia pipi tena.
 
Natoa Tamko: Sasa andaeni kitanda cha mwita25 huko mirembe haraka.. alikofikia sasa haeleweki.. mara cdm Kibo, keshageuka leo anasaga magamba.. sasa kaja huku kwenye masuala ya kunako nguoni.. haya .. !!
 
aha aha ah ah ah ah ah ......
 
Nyumbani mama umemuachia bukuuuuuuuu..........
Kishtobe ba umemnunulia kukuuuuuuuuu.......
Kurudi kwako ni usikuuuuu........
Naenda kusema kwa mamaaaaaa.........
Nasemaaaaa........nasemaaaaa..............

Mkuu Mwita25 naona dogo kakusema waziwazi ha ha ha ha ha ha!!!
 
Natoa Tamko: Sasa andaeni kitanda cha mwita25 huko mirembe haraka.. alikofikia sasa haeleweki.. mara cdm Kibo, keshageuka leo anasaga magamba.. sasa kaja huku kwenye masuala ya kunako nguoni.. haya .. !!

Mkuu mimi nimewai mwambia huyu mkuu kuwa akimbilie mirembe muda mrefu sana,sasa ona....
 
Back
Top Bottom