Isaac Ndodi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Isaac Ndodi.

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Bujibuji, Oct 30, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,401
  Likes Received: 22,287
  Trophy Points: 280
  Jamani mwenye CV ya huyu bwana naomba anisaidie kuibandika hapa JF.
  Nasikia ni Daktari, sijui kasomea wapi na amebobea kwenye tiba ya magonjwa yepi?
   
 2. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Ni ujinga kwa kila mganga wa kienyeji
  kujiingiza katika mambo ya kiuchungaji ili
  watu wawakubali!Alianza Yahaya
  Hussein,akaja Ndodi sasa Joseph Kalokola
  Buberwa wa JKB international nae eti
  anatoa neno la mungu!Acheni kukufuru
  mungu kwa kutaka ufalme wa hapa
  duniani.Kalokola mke kamshinda na
  wametengana kwa kupigana magumi pale
  ubungo plaza mimi pamoja na
  wafanyakazi wake akina Vick,Mrutu na
  Ndutu ndio tulioamulia hizo ngumi leo nae
  anafundisha watu jinsi ya kuishi katika
  ndoa!Aibu.Hawa ni wafanyabiashara tuu
  wala hawatendi mambo ya
  mungu,achaneni nao.
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,401
  Likes Received: 22,287
  Trophy Points: 280
  Ndodi ni mganga wa kienyeji!!!!???
   
 4. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kabisa kabisa.
  OTIS
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,336
  Likes Received: 1,801
  Trophy Points: 280
  Hawa watu wanaokota mizizi huko halafu kirahisi wanajiita madokta. Ndio maana leob nchi yetu inaenda kwa kuloga loga tu imekosa maarifa.
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,401
  Likes Received: 22,287
  Trophy Points: 280
  huo upako wa uchungaji kaupata wapi?
   
 7. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Hivi tukiweka kando mambo ya kuagua nk, mtu hawezi 'kuitwa'/kuwa na kipaji cha kuwa mganga wa kienyeji?
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,401
  Likes Received: 22,287
  Trophy Points: 280
  kwani mchawi wa kwanza alifundishwa na nani? Si ni kipaji tu
   
 9. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Amebobea kwenye utapeli huyo. Sidhani kama ana sifa nyingine nzuri zaidi ya hiyo.
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Ww bado unaangalia tunguli na kaniki? Inabidi kuvutia wateja.
  Japo siku hizi sio waganga wa kienyeji ni waganga wa jadi

   
 11. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ​tapeli mkubwa yule
   
 12. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  na huyo ndodi anavyojifanya mwalimu wa ndoa sijui ya kwake anaiweza.
   
 13. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Ni kipaji kutoka kwa shetani.
   
 14. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duhhhhhhh. Haya jamani, ila msi vema kuwakashifu waganga wa jadi maana hizo ndizo dawa zilizowakuza mababu zetu pasipo shaka lolote. Kuwwatukuza hawa wa kisasa kupita uwezo wetu wa kufikiri ndiko kumepelekea mataizo mengi sana. Fanya utafiti mfupi tu juu ya wastani wa umri wa kuishi wa mababu zetu halafu linganisha na sisi sasa hivi, utagundua ninachimaanisha hapa.
   
 15. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,336
  Likes Received: 1,801
  Trophy Points: 280
  I also ask myself the same question! Huu upako ambao baadhi ya watu wanasema wanao, umepatikana wapi??? Maana Duniani upo wema na ubaya pia na mara nyingi ni ngumu kujua uhalisi wa kitu kwa kutazama mambo yao kwenye luninga tu.
   
 16. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,336
  Likes Received: 1,801
  Trophy Points: 280
  Kupiga ramli, kufanya mazindiko na ibada za mizimu, hayo ni mambo yaliyofanywa na jamii zetu miaka ileee! Lakini kwani wanayoyafanya sio ushirikina na uchawi? Juzi nilisikia huko Uganda kuna mkandarasi ambaye anaamini kwenye dini za kale na kila site yake ya kazi anayopata lazima atoe sadaka damu ya mtu! What is that? Pengine enzi zile kuua albino haikuwa tatizo,ila leo hii ukiua albino tunakuelewaje?
   
 17. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Akili kumkichwa. Ni tapeli flani anayetumia udhaifu wa nafsi zetu kujitajirisha.
   
 18. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Tufauti ya mganga wa jadi, mganga wakienyeji na mpiga ramli ni zipi?
   
 19. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  mchawi, hata sio mganga.
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hawana tofauti..
   
Loading...