Aibu ya MASIFA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aibu ya MASIFA

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Eng. Y. Bihagaze, Oct 31, 2011.

 1. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Imetokea hata masaa hayajaisha.. Panel Yote imekaa ikimngojea Mganda huyu, sijui alichelewea wapi manake aliyemaliza kuwakilisha alikuwa mjumbe kutoka Botswana, na sasa Mganda akaingia na moja kwa moja akalekea kwenye platform.. Kaulambia wakwetu huyu suti imekaa ikamkaa. sasa katika kuchomeka Ki-flash chake kwenye PC ili aanze kuflows kwenye projector kubwa.. kiflash kikafungunga ila ile file lake likawa halikubali kufunguka.. jamaa akaanza viingereza vingi.. oo nyie hamna html, mimi nimetengeneza presentation yangu kwa kutumia html.. IT wetu wakajitahiditahidi kukifungua ila hakikukubali nadhani killishatafunwa na Virusi. kwa mkwara jama akafungua mkoba wake na kutoa laptop yake, akaagiza achomekewe flaws ili afanye presentation moja-kwa moja kutoka kwenye laptop yake. jamaa wakakonect.. kitu ikafunguka.. sasa jamaa wakati anatafuta file lake nadhani kwa bahati mbaye akabonyeza file jingine.. Ebwanaeee.. aisee.. Full Porn.. Live Ukutani.. aisee wajumbe walistuka sana.. sasa ile jamaa kutahamaki pamoja na virusi vya laptop yake, picha ile ikawa ikiendelea, jamaa la kiafrika na mwanamama wa kizungu, kitu kama sekunde 40 hivi.. jamaa hadi kufanikiwa kukifunga.. jasho limeshammwagika vibaya, suti imeshalowa,.. material yote yamepotea.. Ila jamaa ana moyo wa paka, akaendelea kufungua file lake ukutani, kisha akaomba radhi eti wajukuu zake walikuwa wakichezea laptop yake.. sentensi iliyowafanya wajumbe wavunjike mbavu.. kisha jamaa akaminyia.. afterrall nothing new we are all uses the game.. akaendelea kuwakilisha....
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  wapi huko??????
   
 3. Z

  Zion Train JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 503
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  dah nimecheka kweli, hiyo ilinikuta mimi pia, kuna wazungu waliwai kuja tz kunitembelea, sasa na mimi nilivyoenda kwao kuwatembelea, wakawa wanataka kunionyesha zile picha za bongo, babu wa watu akafungua sijui file gani, aisee nilicheka balaa, yani ilikuwa full miporno halafu mkewe yuko pembeni anamuuliza nini hiyo, kazi ilikuwa kwenye kuifunga,babu alipata noma sana.
   
 4. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pole kwa hilo lilokukuta bila kutegemea unajua madingi wengi sana sasa hivi wanashida ya net work hizo picha zinawapa stmulation zaidi ili waweze kuwashugulikia wibibi wetu, mpeni pole sana
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  daaah.....hiyo kiboko......
  nimeona aibu utadhani mie.....
   
 6. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  dah nimecheka kweli, hiyo ilinikuta mimi pia, kuna wazungu waliwai kuja tz kunitembelea, sasa na mimi nilivyoenda kwao kuwatembelea, wakawa wanataka kunionyesha zile picha za bongo, babu wa watu akafungua sijui file gani, aisee nilicheka balaa, yani ilikuwa full miporno halafu mkewe yuko pembeni anamuuliza nini hiyo, kazi ilikuwa kwenye kuifunga,babu alipata noma sana
   
 7. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  daaah.....hiyo kiboko......
  nimeona aibu utadhani mie.....
   
 8. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Imetokea hata masaa hayajaisha.. Panel Yote imekaa ikimngojea Mganda huyu, sijui alichelewea wapi manake aliyemaliza kuwakilisha alikuwa mjumbe kutoka Botswana, na sasa Mganda akaingia na moja kwa moja akalekea kwenye platform.. Kaulambia wakwetu huyu suti imekaa ikamkaa. sasa katika kuchomeka Ki-flash chake kwenye PC ili aanze kuflows kwenye projector kubwa.. kiflash kikafungunga ila ile file lake likawa halikubali kufunguka.. jamaa akaanza viingereza vingi.. oo nyie hamna html, mimi nimetengeneza presentation yangu kwa kutumia html.. IT wetu wakajitahiditahidi kukifungua ila hakikukubali nadhani killishatafunwa na Virusi. kwa mkwara jama akafungua mkoba wake na kutoa laptop yake, akaagiza achomekewe flaws ili afanye presentation moja-kwa moja kutoka kwenye laptop yake. jamaa wakakonect.. kitu ikafunguka.. sasa jamaa wakati anatafuta file lake nadhani kwa bahati mbaye akabonyeza file jingine.. Ebwanaeee.. aisee.. Full Porn.. Live Ukutani.. aisee wajumbe walistuka sana.. sasa ile jamaa kutahamaki pamoja na virusi vya laptop yake, picha ile ikawa ikiendelea, jamaa la kiafrika na mwanamama wa kizungu, kitu kama sekunde 40 hivi.. jamaa hadi kufanikiwa kukifunga.. jasho limeshammwagika vibaya, suti imeshalowa,.. material yote yamepotea.. Ila jamaa ana moyo wa paka, akaendelea kufungua file lake ukutani, kisha akaomba radhi eti wajukuu zake walikuwa wakichezea laptop yake.. sentensi iliyowafanya wajumbe wavunjike mbavu.. kisha jamaa akaminyia.. afterrall nothing new we are all uses the game.. akaendelea kuwakilisha....
   
 9. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #9
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  habari iko hivyo.. usitake kujua wapi.. tukifunuafunua zaidi haitafaa.. Ila Kuna mibaba mitoa huduma ya maji na vitu vyepesi iliahirisha huduma na kukodolea mimacho kule mbele, aisee.. na baada ya onyesho kufaniiwa kuzimwa niliiona ikiingiza mikono mifukoni na kuondoka.. ikawaachia kinadada wakipiga mzigo kwa dk kama 20 ikarejea.. aisee.. kaz kwel kwel..!! Mganda huyu.. mganda wa watu huyu.. sijui atalalaje leo, atapogundua washiriki wa mataifa mbalimbali alivyowatendea.. na wataendakusimulia nini makwao.. aisee..
   
 10. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Aisee nimecheka mwenyewe hadi mbavu zinauma, eti wajukuu walikuwa wanachezea laptonga, mzee mzima hovyoöo.!
   
 11. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #11
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mara Nyingi ikikukuta tafrani kama hii, vidole vyote vinateleza, shift button inakuwa space, pause inakuwa capLock, yaani mchanganyikomchanganyiko hadi aibu ikupate ikukolee..
   
 12. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  yaani hapa nimejificha had sura kwa aibu
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  sijakuelewa ujue.....
   
 14. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Angebonyeza B kwenye Laptop yake... LOL...
   
 15. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,973
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Huyo atakuwa mjinga. Msomi mzima unapoteza muda kuchungulia game za wenzako. Upuuzi mtupu.
   
 16. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  mkuu ikizu, mbona unadesa kila kitu au hujui kiswahili nini, yaani kila kitu hapo umedesa! Sasa siuache kama hujui?
   
 17. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #17
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Aibu ya mwaka.
   
 18. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,449
  Likes Received: 22,367
  Trophy Points: 280
  ngoja niandike skript, hilo litakuwa bonge la movie
   
 19. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #19
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ukishatoa "kitu" wape wale vijana wa pale ubungo mataa wakuuzie.. wanaminyia wale!!
   
 20. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  pole zake
   
Loading...