Hivi hakauna superstar

Meritta

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
1,304
291
vini ni kweli kuwa tanzania yetu hakuna msanii katika tasina yoyote ile aliyofika level ya usuperstar kwa maana ya kutambulika kimataifa
na kazi yake kujulikana kimataifa
 
SnowBall

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
3,054
2,837
vini ni kweli kuwa tanzania yetu hakuna msanii katika tasina yoyote ile aliyofika level ya usuperstar kwa maana ya kutambulika kimataifa
na kazi yake kujulikana kimataifa
Nchi yenyewe haitambuliki kwa lolote la maana ..sasa hata huyo Superstaa unategemea atauzika vp????...
 
Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,592
5,337
Nadhani Lady Jay Dee kafika level hiyo... na ni yeye peke yake amekua star for more than ten years na bado akitoa anahit. anajulikana sana in east, central na southern africa, sijui kule ulaya vipi
 
tatizomuda

Member
May 5, 2011
49
17
nchi yenyewe haitambuliki sasa huyo msanii atatambulika vpi?huku majuu ukikutana na mtu ukimwambia unatoka tz ujue lazima utoe na maelezo ila wenzetu kenya kila kona ya dunia wanajulikana,sisi sijui nani alitupiga juju maana hatuna chochote cha kujivunia labda tumtangaze vasco da gama wetu wa 2 inaweza kusaidia kujulikana
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,802
24,505
ay? coz nae namuona dstv akipita pita
teh teh, kuna rose mhando na nibebe (i hate the song with all my heart,lol)
 
NEW NOEL

JF-Expert Member
May 21, 2011
861
403
Hivi nini maana ya kuwa ''Super Star''?
Hivi kuonekana Channel O,Mtv Base au Trace ni kuwa Super star?
Kwa ufahamu wangu Super Star anaweza kuwa msanii wa muziki au hata mchezaji Mpira.
Na kuwa super star kuna level yake. Super star ni mtu mwenye mafanikio katika sanaa au mchezo wa aina fulani. Kwa mf. Drogba au Messi hao ni wachezaji nyota wa mpira wenye mafanikio karibu dunia yote. Juma Kaseja ni mchezaji nyota mwenye mafanikio Tz na Afrika Mashariki. Hata Ay ni msanii nyota mwenye mafanikio Tz na Afrika Mashariki na Jay-z ni msanii nyota mwenye mafanikio Marekani na Duniani.
Hivyo basi hapo utaona kila mtu anaweza kuwa Super star ila kwa level tofauti.
HAYO NI MAONI YANGU,KUTOKANA NA UELEWA WANGU.
Tusichanganye kuwa ''Celebrity'' na kuwa ''Star'' ni vitu viwili tofauti.
Celebrity ni mtu ambaye anapata attention ya vyombo vya habari. Mf. Mwanasiasa,msanii,n.k
 
Rosweeter

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
1,171
4,431

Umemeliza mchezo mkuu
 
Smatta

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
2,350
724

Jay z si superstar, Jayz is the God MC, he is a demi God.. damn
 
Barraza

JF-Expert Member
Oct 10, 2011
481
270
wasanii wetu wamelenga soko la nyumbani, mara nyingi wanapofanikiwa kusikika kwenye redio na kutazamwa kwenye TV za nyumbani hudhani kuwa wamefika, na kubakia kubweteka
 
kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
18,520
11,269
Nchi yenyewe haitambuliki kwa lolote la maana ..sasa hata huyo Superstaa unategemea atauzika vp????...

Mkuu mbona inatambulika kwa sana tu,hii nchi ni maarufu kwa kutembeza bakuli( UMATONYA) ,kuhongwa suti na kusaini mikataba bila kuisoma.
 
Meritta

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
1,304
291
Nadhani Lady Jay Dee kafika level hiyo... na ni yeye peke yake amekua star for more than ten years na bado akitoa anahit. anajulikana sana in east, central na southern africa, sijui kule ulaya vipi
na ndo huwa najihuliza sana swali hilo je ulaya tunatambulika,na kama tunatambulika je kwa kiasi gani?
 
Meritta

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
1,304
291
Mkuu mbona inatambulika kwa sana tu,hii nchi ni maarufu kwa kutembeza bakuli( UMATONYA) ,kuhongwa suti na kusaini mikataba bila kuisoma.
ilo swala limefanya mkuu wa kaya kuwa kuwa superstar
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom