YOUNG AFRICANS Vs SIMBA SC NANI ZAIDI HAPO KESHO??

Mwanagandila

Senior Member
Oct 9, 2011
182
100
wana JF, kesho kuna mechi nzuri sana ambayo sitaki kuikosa amabapo watani wa jadi Tanzania watapambana kugombea point 3 muhimu, wewe kwa mtazamo wako unadhani ni timu ipi itaibuka kidedea na kwa sababu gani?
 
Mechi hiyo haichezwi kesho wewe....Unawajua Al-Shabaab au unawasikia?...Kama maandamano ya Dowans yamesitishwa unadhani kuna uwezekano wa kukusanya watu approx. 50,000 kwenye scene moja?...Kama hujitaki endelea kuongelea mechi ya kesho!
alshabaab.jpg
 
Hakuna zaidi wala nini, wote wababaishaji tu. Mpira ulikuwa ukichezwa zamani bwana
 
Mechi hiyo haichezwi kesho wewe....Unawajua Al-Shabaab au unawasikia?...Kama maandamano ya Dowans yamesitishwa unadhani kuna uwezekano wa kukusanya watu approx. 50,000 kwenye scene moja?...Kama hujitaki endelea kuongelea mechi ya kesho!
alshabaab.jpg

E banaeeeee! Hawa wali kababu mbona wanataka kutuharibia starehe zetu? Lakini kwanini watutishie sisi wakati ni wakenya ndo wagomvi wao??
 
Okwi katuletea U$€N&€,
Kakosa mabao ya wazi mengi tu,
Naskia Boban alimpiga Vichwa baada ya mechi!!
Nikiwa pale uwanjani nimeskia zaidi ya watu kumi tofauti wakidai yule Okwi hua anaendaga kuvuta mshiko kwa Riz1 ambae ni mnazi mkubwa wa ile timu ya "CCM"
 
Back
Top Bottom