Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

mchekeshaji maarufu Sharo Milionea akiamba na mpira kuelekea langoni mwa timu ya wachekeshaji ya Mwanza na kuipatia timu yake bao la nne, Dar Comedy walishinda 4-3
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Wanajamvi naomba kujuzwa aliko Francicy Kiwanga(kijana)mkurugenz wa tume ya haki za binamu,naona siku hizi kuna yule mama Helen kijo Bisimba,au ndo ameshukua nafasi yakijana yule My take...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dah aslay itabidi aende kwa mama kuwaremelea kili awards maana katika orodha zote nilizozipitia za kupiga kura za kili awards 2012 kwa kweli inasikitisha sana dogo aslay hayupo hata tuzo moja...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Source Jamii forums: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/234266-kikwete-safarini-marekani-2.html
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtindo wa Kata K Mwizi mmoja hapa London aliyekuwa akijaribu kukimbia baada ya kufanya wizi wake, aliuhisi mkono wa sheria ukimkamata baada ya kuanguka, kwa kuwa alikuwa amevaa suruali yake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Polisi wa Moscow Polisi katika mji wa St Petersburg wamesema wamemkamata afisa wa polisi akiwa anaendesha gari la wizi. Gazeti la RIA Novosti limeripoti siku ya Alhamis kuwa polisi huyo kapteni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna ngoma nimezisikia leo Kiss Fm nikamkumbuka huyu Dj aliyekuwa pale Mawingu kwenye Mid morning jam! Kipindi hicho Clouds moto kweli! Dj Boogie Master alikuwa mkali wa selection ya nyimbo kali!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu naomba kuuliza nani mwenye Taarifa za Mtangazaji wa BBC anaitwa Lubunga Biyaombe? jamaa alikua anatangaza kutokea kule D.R.C..
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Dah, huyu dada kaamua awaulize wenzake kulikoni? Je wakuu, hata hivyo wanastahili kujiita majina yafuatayo; .
1 Reactions
32 Replies
7K Views
Leo katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds Redio kinachorushwa kila Jtatu hadi Ijumaa saa 3 asubuhi hadi saa 7 mchana nimesikia kasheshe iliyomkuta Wema ya kugongewa gari lake. Inasemekana kuwa...
0 Reactions
163 Replies
33K Views
nimeingia teentz.com mara nikaona sehem ya kupiga kura kili Music Awards 2012 mara vuuuup jamaa yupo ndani ya tuzo ya Mtumbuizaji Bora wa Kiume ///// Mwimbaji Bora wa Kiume////// Wimbo Bora wa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Ona kikwapa cha bibie Fantasia.....
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Nimekuwa nikifatilia kwa karibu sana kuhusu harakati za sugu na vinega, Hizi harakati ziimekuwa zikiendeshwa na wasanii wa mziki wa kizazi kipya ktk kuprotest ukandamizaji unaofanywa na baadhi ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Unajua huu ukumbi umekua maarufu sana siku za hvi karibu afu nasikia ni wakawaida mno huu umaarufu umetokana na nn?
1 Reactions
46 Replies
10K Views
Popote pale Ulipo Jitokeze GK..... Ma fan wako wa ukweli tupo..... Na we really Miss You.
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Wadau hili suala limekuwa linanipa headache naombeni suggestion zanu kwamba ni nani aliyemwanzishia mwenzie na kwanini
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wadau wa JF, Naangalia kipindi cha ongea na janet clouds TV,kama unataka kuongea nae mtumie email:: ongea@janet.co.tz Host: Janet Sosthenes Mwenda Tallawa
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni muda sasa umepita toka 2pate taarifa kutoka vyanzo tofauiti vya habari isipokua nyie kua mwenzenu ni mgonjwa(JOSEPH SHAMBA). Kupitia picha zilizowekwa hapa kweli mwenze2 uyo alioneonekana kua...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Saleh J (real name: Saleh Jaber) from Tanzania was the first rapper in East Africa to release an album with raps in Swahili. Although he wasn't the first to pick up the mic in Tanzania, his tape...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Sio shabiki saana wa huu ushenzi wa big brother ila kwa hizi tetesi ninazosikia kuwa hemed atakuwa muwakilishi wenu Big brother........mmekwisha.....
0 Reactions
46 Replies
8K Views
Back
Top Bottom