Dogo aslay hana tuzo lolote la kili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dogo aslay hana tuzo lolote la kili

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Machozi ya Simba, Mar 16, 2012.

 1. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,111
  Likes Received: 845
  Trophy Points: 280
  Dah aslay itabidi aende kwa mama kuwaremelea kili awards maana katika orodha zote nilizozipitia za kupiga kura za kili awards 2012 kwa kweli inasikitisha sana dogo aslay hayupo hata tuzo moja jaaa!!!! Inaniuma japokuwa aslay ni dogo
   
 2. m

  mankind Senior Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Dogo anabana sauti ka demu bana,mi mara ya kwanza nilidhani ni ray c.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  PG 18

  Under 18
   
 4. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  mi ule wimbo naupenda..but i wish ungeimbwa na mtu strong zaidi...umeimbwa legelege sana..inshort haufai kuwa kwenye kili awards full stop!!!!!!!!!!

  mwambie amtafute Jafaray
   
 5. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,111
  Likes Received: 845
  Trophy Points: 280
  una maana gani 18
   
 6. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Bado sana kwa sababu ndio kwanza anaanza. Inabidi akaze buti ili safari ijayo aweze kuingia katika kinyang'anyiro cha KILI MUSIC AWARDS.
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Dogo hawezi kushiriki kwenye shindano la pombe coz umri wake bado mdogo,under 18
   
Loading...