Angalizo: Mods kwa hekima mnaombwa msiiamishe thread hii wala kuichanganya na nyingine yoyote.
Wanajamii; Wana JF
Mwaka 2010 tulifanya mchakato wa kumpata JF Man & Woman of The Year 2010...
American producer on hit CBS reality show the Amazing Race 'poisoned to death in Africa by a gang of local thugs' after confrontation
Jeff Rice found dead in his hotel room in Uganda after a...
Nini hiki sasa, si bora uongee lugha moja kuliko kuchanganya lugha hivi....
Mkasi - S02E02 with Eddie - YouTube
Jamaa kachemka na hakueleweka kabisaa kwa wengi wetu, arifu siku nyingine...
Wakuu, nimekutana na hii kitu kwa wazee wa gizmodo, kilichonivutia siyo headphone ya huyu dogo, bali ni comment za wadau kuhusu muelekeo wa RAP na HIPHOP. Binafsi naamini kabisa kuwa rap ya sasa...
taarifa:kwanza poleni na samahanini kwa hali ya sintofahamu iliyotokea leo kutokana na taarifa za ghafla za usuluhishi kati yetu na ruge/clouds fm,ni kutokana na unyeti wa issue yenyewe ilibidi...
I hear her voice in the morning hours she calls me.The radio remind me of my home far away,and drivin' down the road I get the feeling.That I should have been yesterday.Country road,take me home...
Hivi Braza Maradona mzima kiakili au anaigiza kuwa bado kadata kimtindo?! Anasema Morinho anaweza kugeuza coin kuwa rose lakini yeye bado hampendi kama kocha...!
Kwa jinsi inavyoonekana ni kua MAGENGE YA VINEGA(mapacha,adili mkwela,peen lawyer,chief rumanyika mkoloni na wengine wengi) pamoja na SUGU walikua kwenye movement 1 lakin kila mtu alikua na madai...
Ni maajabu kusikia nabii anabaka,bado siamini mbona hajashitakiwa?au ndio mambo ya mwenye kesi ya kuiba kuku kuhukumiwa mwaka mmoja jela,fisadi wa epa anaombwa arudishe mabilioni aliyoiba.
Kweli hakuna cha MWANADAMU kisicho na BEI!!!! (Naamini vya MUNGU havina BEI, Mfano KIFO, UHAI nk)
TAMKO LANGU KWA UMMA HILI HAPA :::PEEN LAWYER:::
February 22, 2012 in Uncategorized
::::SINA...
SIJAKUBALIANA NA MAPATANO YA SUGU NA RUGE/NA KAMA KWELI HIZI NI HARAKATI BASI KINEGA BADO NTAZIENDELEZA.
Unajua nini..!iam swahili original,,,na ntaendelea kuwa mimi kama awali…!kazi za...
msanii anayetamba na kibao maarufu kwa jina la "NAONGEA NA RIDHI ONE" Kutoka jijini mbeya amekashifu harakati za mh. Sugu alipoulizwa kwanini ameshndwa kuonesha support kwa kushiriki show za...
Wasalaam
Wakuu leo tumeshudia kumalizika kwa bifu lililodumu kwa muda mrefu baina ya Sugu na Ruge, kwa mujibu wa wa Sugu na Ruge wao kama wao wamemaliza bifu lao,lakini je vipi kuhusu Vinega wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.