Hemed kuwakilisha Tanzania Big brother

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,706
Sio shabiki saana wa huu ushenzi wa big brother ila kwa hizi tetesi ninazosikia kuwa hemed atakuwa muwakilishi wenu Big brother........mmekwisha.....
 
Siku hizi hakuna 'mwakilishi' wa Tanzania Big Brother, Serikali kupitia wizara husika ilishasema.....siku hizi kuna 'mshiriki' wa Big Brotherm toka Tanzania. Kama PhD atakuwa amechaguliwa atakuwa mshiriki, na sio mwakilishi!
 
bwahahahaha......kupitia wizara husika....kuna jambo linalosemwa na serikali yenu likawa serious?
 
[i hate the guy, wamekosa mtu wakumweka pale jamani?

Sio kila mti uuonao wafaa kuwambwa mbao.......
 
Hajui lugha zaidi ya matusi na usharobaro ndo umemjaa . Huyu aende akaendelee kuimba utumbo anaouimbaga na kwenda kurost nywele.
 
bwahahahaha......kupitia wizara husika....kuna jambo linalosemwa na serikali yenu likawa serious?

dah! Arifu hebu nifanyie mpango na mimi niwe mkenya,, ngoja nikutumie cv aisee.
 
Samahani wakuu huyo Hemed ndio nani? au anajishughurisha na mambo gani? simfahamu mtu huyu.

Ni mmojawapo wa washiriki ktk Bongo Movies mbalimbali.....Pia huwa anaimba-imba na kufanya featuring ktk baadhi ya nyimbo za wenzake...Wanaomkubali huwa wanaamini kwamba ni yanki anayependa na kuwatenda Mademu...Lakini upande mwingine wa Shilingi huwa unamlaumu sana Ahmed Shabiby (sio Merrey Balhabou ) kwamba anakaharibu haka ka-kijana.
 
shiit!! ndio maana simfahamu, mimi hizo anga Bongo Movie nawajuwa wasanii wasiozidi 4. otherwise mimi ni mpenzi zaidi wa kina Mzee Mjuto, Mwita Maranya, Onyango, Jangala, small n:k, lakini sio hawa wanaotaka kutengeneza Filamu na magari ya kifahari ya kuazima halafu baadae mnagongana kwenye msosi wa buku mbili!!
 
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
shiit!! ndio maana simfahamu, mimi hizo anga Bongo Movie nawajuwa wasanii wasiozidi 4. otherwise mimi ni mpenzi zaidi wa kina Mzee Mjuto, Mwita Maranya, Onyango, Jangala, small n:k, lakini sio hawa wanaotaka kutengeneza Filamu na magari ya kifahari ya kuazima halafu baadae mnagongana kwenye msosi wa buku mbili!!

nahisi huyu Hemedi yupo katika hao N:K wako unaowajua
 
hahaha umenikumbusha wale washiriki wa mwaka jana,tyson na mwenzake bhoke.
 
Back
Top Bottom