Sugu mtetezi wa wanyonge, we ni jicho la chadema, sasa tunasubiri harakati za 2" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sugu mtetezi wa wanyonge, we ni jicho la chadema, sasa tunasubiri harakati za 2"

Discussion in 'Celebrities Forum' started by AdvocateFi, Mar 13, 2012.

 1. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa nikifatilia kwa karibu sana kuhusu harakati za sugu na vinega, Hizi harakati ziimekuwa zikiendeshwa na wasanii wa mziki wa kizazi kipya ktk kuprotest ukandamizaji unaofanywa na baadhi ya watu matajiri wanaowatumia vijana wanamziki kwa maslahi yao binafsi, so 1 ya harakati za sugu na vinega ilikuwa ni kudai studio iliyotolewa na Rais ambayo ilikuwa ikitumiwa na Ruge kwa maslahi binafsi, Lakini baada ya harakati za Sugu tayari dai hilo lilisikika na kutendewa kazi na sasa Ruge ashakubali kosa na studio itaanza na kufanya kazi pasipo upendeleo.

  Pia harakati za sugu na vinega zilikuwa ni kudai haki miliki kwa wasanii ambalo bado halijatimizwa na serikali, Sasa ni wakti wako sugu kuendeleza harakti za kudai haki miliki ili wale watu wenye majungu ya kike especialy magamba walokuponda pale ulipofikia muafaka na Ruge na kukamilisha harakti za kwanza wajionee aibu, TUNASUBIRIA HARAKTI ZA PILI, usiogope go ................. SUGU.. go.....
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Sugu kashakwisha kimya kabisa,harakati ni nomaaaaaa!!
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Nimekosea jukwaa kumbe! Sorry.
   
 4. M

  Madenge Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Huyu ndiye mwanaharakati wa ukweli...tunasubiri harakati nyingine zianze. Loading...........
   
 5. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,528
  Likes Received: 10,441
  Trophy Points: 280
  hivi harakati na siasa ni mapacha.?
   
 6. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mrs. Ruge a.k.a RUGE B!
   
Loading...