Sharo Millionea atoka Kivingine

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,142
13,216
www.g 8.jpg
mchekeshaji maarufu Sharo Milionea akiamba na mpira kuelekea langoni mwa timu ya wachekeshaji ya Mwanza na kuipatia timu yake bao la nne, Dar Comedy walishinda 4-3
 
Mchezaji mwenzake anayefuatia (njano) ni Mtanga
 
..dah kwani kuna jambo alilosifiwa ambalo hana au kuna sifa kapewa si yake?

Hata mi nimeshangaa,kijana kote ana fit stl hana makuu bt kwakua kila mtu ana ruhusiwa kutoa maoni yake wanao mponda poa2,tutawazuiaje sasa
 
Back
Top Bottom