Wabongo na majina ya mbele a.k.a unyamwezini

wamejipachika tu kuleta al maarufu....! wengine utasikia watu ndo wananiita hivo....
ila mmhhh kila mtu na maisha yake...perhaps wasomi wetu nao waanze kujiita kina jackie-o, michelleo obama, hilry clinton.....hivo hivo..anyway siku inaenda.
 
ni kasumba tu,mbona wanasoka nao hujipachika majina,sioni tatizo,huenda huyo ndio role model wake.
 
JLO wa Tz v/s JLO wa majuu
sintah-2.jpg

JLO wa tz AKA sinta....aiseeeee angalia vidole vya miguu..huyu aliwahi kufanya kazi ya kutegua mabomu???

Jennifer-Lopez-Proud-of-Her-Fat-Ass.jpg


are tehy looking alike?
 
ya kiafrika inayovutia kuliko kujiweka kuwa vituko?

DSC05137.JPG

Fake Kimora Lee


45220_109917719064622_100001391835298_85679_5074971_n.jpg

Amber Rosewa tz
Amber-Rose-ICEDOTCOM2-e1304103471593.jpg

Amber Rose wa kweli


fide.jpg

Lady Gaga bandia

lady-gaga-shoot.jpg
 
muwe mnaiga na mbinu wanazotumia kupata maendeleo instead of jst copyn thr names cause m vry sure tht hamna anayefikia hata robo ya maendeleo ya hao kina dada hapo juu...thr are some big reasons behind all those big names, it takes alot of efforts n m sure thy hustled day and night to get their names on the top.
 
Huo ndio ujinga wenyewe, kama wao wanawake wa kweli kwanini haupaizii jina lako. I want to be known as MadameX utake usitakee I have my own swaga which is unique.
 
hahahahahahaah jamani nimecheka leo huyo JLo na Lady Gaga wa bongo wameniacha hoi.....Lady Gaga wa bongo duh....
 
ha ha ha hapo kweli djfetty kawachana....huyo sinta nakumbuka jina la jenifer lopez lilikuja kupitia magazeti ya udaku...kipindi kile alipokuwa akibadili mabwana kama dalala...akitoka huyu kaingia huyu...na kipind kile jlo wa ukweli naye alikwua na vikashfa kama hivyo..KWAHIYO SINTA AKAONA NA YEYE ALIENDELEZE HILO BILA KUJALI ALIPEWA KATIKA MAZINGIRA GANI....
 
ha ha ha hapo kweli djfetty kawachana....huyo sinta nakumbuka jina la jenifer lopez lilikuja kupitia magazeti ya udaku...kipindi kile alipokuwa akibadili mabwana kama dalala...akitoka huyu kaingia huyu...na kipind kile jlo wa ukweli naye alikwua na vikashfa kama hivyo..KWAHIYO SINTA AKAONA NA YEYE ALIENDELEZE HILO BILA KUJALI ALIPEWA KATIKA MAZINGIRA GANI....

Heeeh!!!!!!!!!!! kwa heriiiiiii, kuuuumbe mweh
 
Kisaikolojia hiyo ni aina flani ya defence mechanism ambapo mtu mwenye low self esteem anajipachika jina au cheo asichokuwa nacho ili tu angalau nafsi yake ifiche yale anayodhani ni mapungufu nyuma ya umaarufu au umahiri wa huyo anayemhusudu.
 
Kisaikolojia hiyo ni aina flani ya defence mechanism ambapo mtu mwenye low self esteem anajipachika jina au cheo asichokuwa nacho ili tu angalau nafsi yake ifiche yale anayodhani ni mapungufu nyuma ya umaarufu au umahiri wa huyo anayemhusudu.

safi mkuu... thts why i love psychology
 
Dah, huyu dada kaamua awaulize wenzake kulikoni?

Je wakuu, hata hivyo wanastahili kujiita majina yafuatayo;

.
Tena kuna na blog moja ya mdada pia aliweka hii issue aisee wametukana kishenzi. Hawa mastaa wamepinda hawataki kuelezwa ukweli aliandika hivi

WELCOME TO MY WORLD OF BEAUTY, STYLE, FASHION & CURRENT AFFAIRS: ISSUE YA MATUMIZI YA MAJINA YA MASTAR WA NJE NA MASTAR HASA WA KIKE NYUMBANI TZ...!!!Wapenzi wasomaji wangu leo nakuja kivingine naomba tuongelee hili suala la watu hasa ma celebrity wetu huko Tanzania kujiita au kutumia majina ya mastar wengine wa ulaya! Je hii ni sawa?

Mimi binafsi naona si sawa na sioni sababu ya mtu kujiita sijui Beyonce, J Lo, Lady Gaga, Kim K, Nicki Minaj nk. wakati mtu ana jina lake na ni zuri tu na pia anweza kulikuza kama hawa mastar ambao ndo idols zao as they say au wanao jifananisha nao.


Najua kuna wengine wamepewa na marafiki zao hayo majina ila kwa nini mtu asiwe proud na jina lake? Unakuta mtu kakazana kazana tena haswa kulikuza na kujiita hilo jina la huyo star wa nje wakati mwenzake jina tayari analo!


Na kaitika pita pita zangu facebook nilikutana na mdau aka tena bongo celebrity mwingine ambaye nae alikuwa ana mawazo kama yangu na yeye aliandika hivi:
"Jamani wats this mastar wabongo kujiita majina ya macelebrity wa nje like keri hilson,minaj,tyra banks,kimora lee,jlo,rihhana,beyonce n whatsoever?to ♍ε its a big NO kwa kweli au labda mie mshamba nisaidiwe lol"


Napenda kuwakilisha na pia naombeni maoni yenu wadau.




"BE PROUD OF YOUR NAME & ROCK IT"


JG
xoxoxox
 
Back
Top Bottom