Original comedy, kwanini lakini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Original comedy, kwanini lakini?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by HOPECOMFORT, Mar 12, 2012.

 1. HOPECOMFORT

  HOPECOMFORT JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 2,784
  Likes Received: 3,519
  Trophy Points: 280
  Ni muda sasa umepita toka 2pate taarifa kutoka vyanzo tofauiti vya habari isipokua nyie kua mwenzenu ni mgonjwa(JOSEPH SHAMBA).Kupitia picha zilizowekwa hapa kweli mwenze2 uyo alioneonekana kua na hali mbaya sana.

  Swali langu kwenu:Ni kweli kwamba amyaoni maswali yanayo ulizwa hapa kila kukicha kumuusu uyu mwenzetu angalau basi mtupatie taarifa za ukweli?Kama jana tena kuna alie ibuka na taarifa za kushtua eti kaaga dunia!!

  Vengu we love u so so much and we ar always praying for ur recovering.Sitaki na sipendezwi na kusema ugua pole bt i will say GET WELL SOON.
   
 2. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  watu wengine bana..kutwa kuchunguza maisha ya watu.ushaambiwa anaumwa.full stop!!akipona utamuona stejini
   
 3. HOPECOMFORT

  HOPECOMFORT JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 2,784
  Likes Received: 3,519
  Trophy Points: 280
  Ningekubali kama kweli nachunguza bt sikuulizia maisha yake binafsi cse hayatanisaidia.argument yangu ni pale mtu mpaka anazushiwa kifo alafu kuna wakukanusha na bado hawakanushi.Stl mm kama shabiki wake naitaji kumuona

  Kama ww umeona majungu ungepaswa kupiga kimya na kupita
   
 4. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,305
  Trophy Points: 280
  - Comment removed by moderators -
   
 5. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,751
  Trophy Points: 280
  Duh, ni vyema kuchangia hoja kuliko kukwazana.... kwakuwa hayujuani basi heshima muhimu. ...kila ufanyacho usemacho aghalabu hukugeukia ww mwenyewe
   
 6. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  mmmmh haya nayo mpyaaaa!
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,087
  Likes Received: 6,554
  Trophy Points: 280
  unaona kweli kwenye hilo kundi kama kuna mtu
  wa kuweza kukujibu unachokitaka.
   
 8. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  acha kukurupuka ndugu yangu masanja amekanusha kupitia wall yake ya fb nenda uone chunguza mambo kwanza kabla ya kukurupuka
   
 9. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ze original comedy a.k.a watoto wa Manji.Kumkashifu Mzee Mengi wameweza ila kumpeleka mwenzao India akapate matibabu wameshindwa. Haya ndio madhara ya utegemezi.
   
Loading...