Wapi aliko FRANCIC KIWANGA??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi aliko FRANCIC KIWANGA???

Discussion in 'Celebrities Forum' started by TASLIMU, Mar 16, 2012.

 1. TASLIMU

  TASLIMU Senior Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi naomba kujuzwa aliko Francicy Kiwanga(kijana)mkurugenz wa tume ya haki za binamu,naona siku hizi kuna yule mama Helen kijo Bisimba,au ndo ameshukua nafasi yakijana yule
  My take! infomation z power au lejea katika katiba ya Tz ibara ya 18 kifungu kidogo.......ulazima wa kupata taarifa
   
 2. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kwanza unaweza kufafanua hiyo MY TAKE yako please??

  Back to the point:
  Kiwanga alikwenda LHRC hapo dar kuchukua nafasi ya Kijo bisimba wakati huyo mama akienda kufanya PHD nje ya nchi. kabla ya hapo kiwanga alikuwa LHRC kituo cha Arusha. Mwaja Jana kijo bisimba kamaliza PHD yake na kurejea kazini. So Kiwanga naye karudi kwenye kituo chake cha kazi cha zamani Arusha.

  Swali la nyongeza???
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  And the thread is closed
   
 4. TASLIMU

  TASLIMU Senior Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafafanua my take yangu(nilikua na maana ya kuwa)nijuzwe jamaa sasa hivi yuko,lengo kuzuia wale watu wa utani.ndo mana nikarejea ktk katiba!!
  ASANTE SANA kwa kunipa majibu mazuri,na ufafanuzi,allah akujalie
   
 5. TASLIMU

  TASLIMU Senior Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ok uzi unaweza fungwa
   
 6. chuchunge

  chuchunge Senior Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 131
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Nope,Kiwanga yupo Arusha lakini hafanyi tena na LHRC bali amefungua Law Firm yake,just doing Consultancy work.
   
 7. U

  Uswe JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kiwanga ni moja ya wanaharakati makini sana, kwa yeye kuacha LHRC = man 0, wapinzani 1
   
Loading...